Hoja ya Haja kuhusiana na matumizi ya majina ya asili ya kibantu
Habari za kazi Ankal.
Katika kipindi cha wiki moja nimekuwa nikitazama tamthilia ya Kiswahili inayoitwa The team(wengi watakuwa wanaifahamu). Napenda kuwapongeza watayarishaji na waigizaji wa tamthilia hii kutokana na ufanisi waliouonyesha katika kuiandaa tamthilia.
Kama Mtanzania nimevutiwa na kujivunia kwa mengi,mojawapo ikiwa ni matumizi fasaha ya lugha ya Kiswahili,kitu ambacho ni vigumu kukiona katika filamu zingine au katika maisha ya kila siku.
Hoja yangu ni juu ya majina...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzihoja ya haja: Wingi wa Askari wa Usalama Barabarani na Matumizi Sahihi ya Muda wa Kazi na Rasilimali Watu
11 years ago
Michuzi09 Apr
hoja ya haja: ............ la Uraia Pacha
naomba pia uniruhusu kusema machache kuhusu mwanazuoni John Mashaka kwa sababu ametugusa kwa mamilioni. na hapana shaka wasomaji wote wa hii blog watakubaliana na mimi kuhusiana na...
10 years ago
Michuzi29 Jun
HOJA YA HAJA TOKA KWA MDAU
Nimeenda kwenye maonesho hayo lakini nilichoshuhudia jana nikwamba maonesho hayo yamewalenga wenye kipato cha juu tu na si watanzania wakawaida asilani, kwa sababu inashangaza sana kwa serikali...
11 years ago
Michuzi18 Feb
HOJA YA HAJA KUTOKA KWA WADAU WA UGHAIBUNI
Mnhomo Gwa Nzunzu ni Mtanzania aliyezaliwa Sengerema, Mwanza. Baada ya kuzaliwa wazazi wake walifariki wakati yeye akiwa na miaka mitatu tu kutokana na ajali ya gari. Baada ya kufariki wazazi wake Nhomo Gwa Nzuzu alilelewa na bibi yake ambaye alimsisitizia sana apate elimu ili ajikombowe kimaisha. Kwa vile Nhomo Gwa Nzuzu hakutaka kumsikitisha bibiye aliamua maisha yake ni kitabu na kitabu na yeye.
Kutokana na juhudi zake za kujisomea Nhomo Gwa Nzuzu alifaulu darasa...
11 years ago
Michuzi09 Mar
HOJA YA HAJA: kampeni ya kupambana na ukuda Tanzania
11 years ago
Michuzi12 Aug
Hoja ya haja: DIASPORA NA URAI PACHA (dual citizenship)
Na Ndugu Kagutta N.Maulidi
![](https://2.bp.blogspot.com/-Zg_1QJJisnU/U-nzzLjVMjI/AAAAAAAAHQM/fjncnJPMcRc/s1600/487578_10202477604054816_2061004118_n.jpg)
Tunapoendelea kufuatilia majadiliano ya wajumbe maaluum wa bunge la katiba si vibaya tukaweka msisitizo au kuwakumbusha wajumbe wetu kuhusu mada iliyopo katika rasimu ya katiba sura ya tano inayozungumzia urai pacha.
Nchi yetu bado haitambui uraia wa nchi mbili, kwa maana kuwa ukichukua uraia wa nchi nyingine unapoteza haki ya Urai wako wa Tanzania. Tunashukuru kuwa swala hili limeingizwa katika rasimu ya pili ya katiba,ili liweze kujadiliwa .Sisi Watanzania...
11 years ago
Michuzi18 Feb
hoja ya haja: Mimi wa Ughaibuni kama Diaspora pia ni Mtanzania
Kwa kuanzia na bila kupoteza muda, Watanzania wa ughaibuni tunataka masuala yafuatayo yaingizwe kwenye katiba mpya: · Uraia wa nchi mbili; · Haki ya kurudi Tanzania kwa Watanzania na Watu wenye asili ya...
10 years ago
Michuzi13 Aug
HOJA YA HAJA: Je kuna nia ya dhati ya kuwaondolea watanzania umaskini?
Tunapoelekea kwenye kipindi hiki cha uchaguzi wagombea urais watarajiwa wanajaribu kuwaeleza watu mambo yenye mvuto kwao na kuonyesha kuwa wataifanya Tanzania iwe nchi ya maziwa na asali. Nafahamu watatupa ahadi nyingi zaidi wakati wa kampeni.Lakini kinachonisikitisha zaidi ni pale wanasiasa wanaposema wanakerwa na umaskini wa watanzania na nia yao ni kuondoa umaskini.
Lakini hapo hapo anahamasisha maelfu ya vijana na watu wengine kuacha kazi zao kumsindikiza kwenda kuchukua fomu...
10 years ago
Michuzi01 Nov