Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


hOJA YA hAJA: Makosa Katika Mchakato Wa Kupata .Viongozi Wa Kisiasa


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA: BARUA YA WAZI KWA WATANZANIA NA VIONGOZI WA VYAMA SIASA

  Na Yusef israelNamshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuweza kutufikisha hapa  toka tupate uhuru na toka nchi zetu mbili hizi zilizoweza kuungana na kuzaliwa taifa moja la jamhuri ya muungano  watu wa Tanzania,ni mambo mengi tumeshuudia mazuri  na mabaya natunapakaa na kuangalia nyuma  tunaona kweli kuna mazuri tumefanikiwa na kuna mambo ambayo tumeshindwa kuyatimiza au kuyatenda kwa sababu zetu wenyewe au makosa yetu wenyewe au sababu ya kutokuwa na uwezo wa kifedha.
Tanzania ya leo ina  wananchi...

 

11 years ago

Michuzi

Hoja ya haja: Viongozi wa Siasa tupatieni katiba ya watu wote sio ya vyama

Mheshimiwa michuzi tunashukulu sana kwa kazi yako ya kutujulisha yanayoendelea TANZANIA leo naomba unipe nafasi niweke ya moyoni mwangu na maoni yangu kuhusu huu mstakabali wa kupata katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mengi yamekuwa yakisemwa sana kuhusu hii katiba au ni muundo ghani wa muungano tunaoutaka,watu wengi na wana siasa wamesahu kwamba muungano huu na katiba hii ya zamani ndio umetufanya tuwe na undungu  na pia tuwe na amani mpaka hapa tulipo watu wengine...

 

11 years ago

Michuzi

hoja ya haja: ............ la Uraia Pacha

Ankal,  mosi naomba nichukue wasaa huu kukushukuru kwa kazi nzuri ya kutuhabaraisha wana ughaibuni. Unatufikishia habari za nyumbani zinazotufariji tulio mbali na nyumbani. Ankal kabla kuendelea zaidi, napenda niseme machache ya moyoni kutokana na mada nzito ya juzi kutoka kwa kijana wetu mahiri john ,mashaka
naomba pia uniruhusu kusema machache kuhusu mwanazuoni John Mashaka kwa sababu ametugusa kwa mamilioni. na hapana shaka wasomaji wote wa hii blog watakubaliana na mimi kuhusiana na...

 

10 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA TOKA KWA MDAU

Ankal pole na hongera kwa kazi nzuri ya kutupatia taarifa mbali mbali zinazo tuhusu watanzania, napenda kutumia nafasi hii kuomba serikali ya Mh Rais Kikwete iliyopewa dhamana na watanzania kuwaonea huruma watanzania kwakuwapunguzia mzigo mzito wa malipo ya kuingia kwenye maonesho ya SABASABA. 
Nimeenda kwenye maonesho hayo lakini nilichoshuhudia jana nikwamba maonesho hayo yamewalenga wenye kipato cha juu tu na si watanzania wakawaida asilani, kwa sababu inashangaza sana kwa serikali...

 

11 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA: kampeni ya kupambana na ukuda Tanzania

Ankal naomba nipe nafasi nitangaze nia yangu ya kuanzisha kampeni ya kupambana na UKUDA hapa Tanzania. Ruksa kunisahihisha bila kuchafua hali ya hewa; ila nielewavyo mimi UKUDA ni hali ya kuwa na roho mbaya, roho ya kwa nini, kukatishana tamaa, na pia kutopenda maendeleo ya wengine - wakati MKUDA mwenyewe akibakia kama alivyo. Kwa mtazamo huo huo, MKUDA ni mfuasi wa hayo mambo niliyotaja hapo juu. Na ndio kampeni hii itakapoelekezwa, na nitahitaji sana msaada wa mawazo ya wadau wa namna ya...

 

11 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA KUTOKA KWA WADAU WA UGHAIBUNI

MIMI NI MTANZANIA...
Mnhomo Gwa Nzunzu ni Mtanzania aliyezaliwa Sengerema, Mwanza. Baada ya kuzaliwa wazazi wake walifariki wakati yeye akiwa na miaka mitatu tu kutokana na ajali ya gari. Baada ya kufariki wazazi wake Nhomo Gwa Nzuzu alilelewa na bibi yake ambaye alimsisitizia sana apate elimu ili ajikombowe kimaisha. Kwa vile Nhomo Gwa Nzuzu hakutaka kumsikitisha bibiye aliamua maisha yake ni kitabu na kitabu na yeye.
Kutokana na juhudi zake za kujisomea Nhomo Gwa Nzuzu alifaulu darasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani