Hoja ya haja: Makosa Katika Mchakato wa Kutafuta na Kupata Viongozi wa Kisiasa Tanzania na Suluhisho Lake - sehemu ya tatu
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi19 Jan
10 years ago
Michuzi03 Nov
10 years ago
Michuzi01 Nov
9 years ago
Michuzi04 Sep
HOJA YA HAJA: BARUA YA WAZI KWA WATANZANIA NA VIONGOZI WA VYAMA SIASA
Na Yusef israelNamshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuweza kutufikisha hapa toka tupate uhuru na toka nchi zetu mbili hizi zilizoweza kuungana na kuzaliwa taifa moja la jamhuri ya muungano watu wa Tanzania,ni mambo mengi tumeshuudia mazuri na mabaya natunapakaa na kuangalia nyuma tunaona kweli kuna mazuri tumefanikiwa na kuna mambo ambayo tumeshindwa kuyatimiza au kuyatenda kwa sababu zetu wenyewe au makosa yetu wenyewe au sababu ya kutokuwa na uwezo wa kifedha.
Tanzania ya leo ina wananchi...
Tanzania ya leo ina wananchi...
11 years ago
Michuzi27 Mar
Hoja ya haja: Viongozi wa Siasa tupatieni katiba ya watu wote sio ya vyama
Mheshimiwa michuzi tunashukulu sana kwa kazi yako ya kutujulisha yanayoendelea TANZANIA leo naomba unipe nafasi niweke ya moyoni mwangu na maoni yangu kuhusu huu mstakabali wa kupata katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mengi yamekuwa yakisemwa sana kuhusu hii katiba au ni muundo ghani wa muungano tunaoutaka,watu wengi na wana siasa wamesahu kwamba muungano huu na katiba hii ya zamani ndio umetufanya tuwe na undungu na pia tuwe na amani mpaka hapa tulipo watu wengine...
11 years ago
Michuzi09 Mar
HOJA YA HAJA: kampeni ya kupambana na ukuda Tanzania
Ankal naomba nipe nafasi nitangaze nia yangu ya kuanzisha kampeni ya kupambana na UKUDA hapa Tanzania. Ruksa kunisahihisha bila kuchafua hali ya hewa; ila nielewavyo mimi UKUDA ni hali ya kuwa na roho mbaya, roho ya kwa nini, kukatishana tamaa, na pia kutopenda maendeleo ya wengine - wakati MKUDA mwenyewe akibakia kama alivyo.
Kwa mtazamo huo huo, MKUDA ni mfuasi wa hayo mambo niliyotaja hapo juu. Na ndio kampeni hii itakapoelekezwa, na nitahitaji sana msaada wa mawazo ya wadau wa namna ya...
11 years ago
Michuzi21 Jul
hoja ya haja: Tamko la Jumuiya ya Kikristo Tanzania Linaturudisha Nyuma
Barua ya Wazi kwa Uongozi wa CCT juu ya Tamko la Mapatano ya Mkutano wa Halmashauri Kuu ya 48 ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania la tarehe 3 Julai, 2014.
• Sio la Kiponyaji, linatonesha Madonda• Watu wa Mungu hawategemewi Kupotosha, Labda Wamepotoshwa
Na John Nkhundi Si kawaida yangu kulumbana na viongozi wa dini kwa sababu ya heshima waliyonayo katika jamii na matumaini ya waumini wao kwao. Hata hivyo, leo nimelazimika kuandika baada ya kusoma tamko la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)...
• Sio la Kiponyaji, linatonesha Madonda• Watu wa Mungu hawategemewi Kupotosha, Labda Wamepotoshwa
Na John Nkhundi Si kawaida yangu kulumbana na viongozi wa dini kwa sababu ya heshima waliyonayo katika jamii na matumaini ya waumini wao kwao. Hata hivyo, leo nimelazimika kuandika baada ya kusoma tamko la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)...
10 years ago
Raia Mwema01 Jul
CCM kweli bado ni sehemu ya suluhisho?
NDANI ya wiki hizi mbili zijazo Watanzania watapata nafasi ya kuona na kuamua kama CCM inaweza ku
Lula wa Ndali Mwananzela
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Viongozi wa riadha Tanzania wakubali makosa
Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limeshindwa kupeleka wanamichezo kwenye mashindano ya Afrika ya riadha yaliyomalizika wiki iliyopita jijini Marrakech, Morocco na kushirikisha wanariadha 600 kutoka mataifa 47.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania