Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msingi wa Makosa Katika Mchakato wa Kutafuta na Kupata Viongozi wa Kisiasa Tanzania na Suluhisho Lake - Sehemu ya pili


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKOSA MANNE YA MSINGI KATIKA HOTUBA YA RAIS.

Na   Bashir  Yakub

TAREHE 22 / 12 / 2014  majira ya  jioni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amelihutubia taifa kupitia wazee. Amezungumzia mambo mengi ila nitapitia moja tu la kashfa ya Escrow.  Habari ya Escrow ni ndefu na ina mambo mengi mchanganyiko na ya kiufundi sana.  Pamoja na kuwa mambo mengi ni ya kiufundi bado ukitulia vizuri  na kulipitia kwa umakini sakata hili  unaweza kutoka na mambo  machache lakini yenye kueleweka zaidi kiasi ambacho...

 

10 years ago

Raia Mwema

CCM kweli bado ni sehemu ya suluhisho?

NDANI ya wiki hizi mbili zijazo Watanzania watapata nafasi ya kuona na kuamua kama CCM inaweza ku

Lula wa Ndali Mwananzela

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa riadha Tanzania wakubali makosa

Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limeshindwa kupeleka wanamichezo kwenye mashindano ya Afrika ya riadha yaliyomalizika wiki iliyopita jijini Marrakech, Morocco na kushirikisha wanariadha 600 kutoka mataifa 47.

 

5 years ago

Michuzi

MPANJU ATAKA VIPAUMBELE VYA MSINGI VIIBULIWE KATIKA MPANGO KAZI WA PILI WA HAKI ZA BINADAMU


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju akifungua kikao cha siku mbili cha wataalam wa Kikosi kazi cha kupitia rasimu ya mpango kazi wa pili wa haki za binadamu kinachofanyika jijini Dodoma.Wengine pichani kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Haki za Binadamu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Nkasori Sarakikya na kushoto ni Afisa Mchunguzi Mkuu na Mratibu wa Mpango kazi wa kwanza wa haki za binadamu Bw. Laurent Buliro kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

 

10 years ago

Michuzi

FID-Q AZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA TAIFA LETU.

Msanii nguli wa miondoko ya Hip-hop Fareed Kubanda – Fid Q amekutana na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sports Lounge katikakati ya jiji la Dar es Salaam, kujadili maswala ya msingi yenye mustakabali chanya kwa maendelo ya taifa hili. Ameitisha mkutano huu akiwa kama kijana na mwenye nafasi na ushawishi kwa vijana wenzie katika ushiriki wa kuleta mabadiliko chanya na maendeleo ya nchi yetu.
Fid Q amesukumwa kuzungumza na waandishi wa habari baada ya ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani