Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FID-Q AZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA TAIFA LETU.

Msanii nguli wa miondoko ya Hip-hop Fareed Kubanda – Fid Q amekutana na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sports Lounge katikakati ya jiji la Dar es Salaam, kujadili maswala ya msingi yenye mustakabali chanya kwa maendelo ya taifa hili. Ameitisha mkutano huu akiwa kama kijana na mwenye nafasi na ushawishi kwa vijana wenzie katika ushiriki wa kuleta mabadiliko chanya na maendeleo ya nchi yetu.
Fid Q amesukumwa kuzungumza na waandishi wa habari baada ya ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FID -Q AZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA VIJANA KUCHAGUA VIONGOZI WA NCHI 2015

Msanii wa Hip hop, Farid Kubanda 'Fid Q' akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari juu ya kampeni yake aliyozindua maalumu kwa kuwahamasisha vijana wa Tanzania kushiriki kikamilifu kwenye mchakato wa kuchagua viongozi wa nchi mwaka 2015, huku akiwataka kuachana na kulalamikia viongozi wanaokuwepo madarakani wakati muda wa kupiga kula ukifika wao hawashiriki kikamilifu. Fid -Q (katikati) akiwa na… ...

 

9 years ago

Vijimambo

BAWACHA KUHAMASISHA WANAWAKE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

  Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaama juu ya uzinduzi wa kongamano la kuunganisha wanawake ili waweze kushiriki katika uchaguzi mkuu Octoba 25.  Katibu Mkuu wa Bawacha, Grace Tendega akifafanua jambo.
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juu ya uzinduzi wa kongamano la kuunganisha wanawake ili waweze kushiriki katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa wasitumie mali za umma katika kampeni Uchaguzi 2015

Moja kati ya shughuli zinazotarajiwa kufanywa na Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la mwezi ujao, ni kuifanyia marekebisho Katiba inayotumika sasa ya mwaka 1977.

 

10 years ago

CloudsFM

FID Q AANZISHA KAMPENI YA VIJANA IITWAYO TUONANE “JANUARY”

Staa wa Hip Hop Bongo,Farid Kubanda ‘’FID Q’ ambaye amekuwa akifanya project nyingi za kijamii ‘’ujamaa hiphop darasa’’ ambayo inawapa nafasi vijana kufahamishwa kuhusu nguzo za hiphop, ana online tv Cheusi Dawa Tv, na sasa hivi Fid Q ana project mpya kwa ajili ya kuwaamsha vijana, kampeni inaitwa Tuonane Januari.

 

9 years ago

Michuzi

JAMVI LA VIJANA LA UMATI MWEZI HUU LIMEKUWA CHACHU YA KUHAMASISHA VIJANA KATIKA MASUALA YA AFYA YA UZAZI

 Vijana wa YAM ( Youth Action Movement) ambao ni waandaaji wa tamasha hili linalofanyika kila mwezi wakionesha igizo lao lililobeba ujumbe unaosema ni jukumu la wazazi kuwaelimisha vijana juu ya afya ya uzazi na ujinsia ili kuwakinga na maambukizi ya VVU mimba katika umri mdogo na ngono katika umri mdogo.Mwenyekiti wa UMATI dar es salaam Mr.Harith Shomvi ambae alikuwa mgeni rasmi  katika tamasha hilo akihutubia wananchi na kuwasisitiza wapate huduma za uzazi wa mpango na upimaji ambazo...

 

9 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa Kiswahili katika Taifa Letu (1)

 Mwalimu J. K. Nyerere amewahi kutuasa ili tuepukane na  ubinafsi katika masuala yahusuyo taifa letu. Suala la ubinafsi amelipiga vita tangu alipoasisi taifa hili na kutuagiza tuondokane na unafsi kama alivyoandika katika kitabu chake cha ‘Tujisahihishe.’ Kitabu hiki kilichapishwa mwezi Juni 1962. Kwa maana hiyo, alitupa fursa ya kuielimisha jamii bila kuwa na uchoyo wala husuda.

 

10 years ago

GPL

MAKOCHA WACHAGUA VIJANA KUSHIRIKI MICHUANO YA TAIFA U-12

Mwamuzi akiwakagua wachezaji. Kikosi cha timu ya Villa Kids kikiwa katika pozi.…

 

10 years ago

Mwananchi

Michezo ni sekta muhimu katika uhai wa Taifa letu

Yapo matatizo mengi ambayo yanazuia kasi ya maendeleo ya michezo nchini, ila wahusika wamekuwa wakiyafumbia macho na kuona kama ni masuala ya kawaida.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani