FID Q AANZISHA KAMPENI YA VIJANA IITWAYO TUONANE “JANUARY”
Staa wa Hip Hop Bongo,Farid Kubanda ‘’FID Q’ ambaye amekuwa akifanya project nyingi za kijamii ‘’ujamaa hiphop darasa’’ ambayo inawapa nafasi vijana kufahamishwa kuhusu nguzo za hiphop, ana online tv Cheusi Dawa Tv, na sasa hivi Fid Q ana project mpya kwa ajili ya kuwaamsha vijana, kampeni inaitwa Tuonane Januari.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzn4ICuAlE5AkYnd20X2GqPIuGCWOMJPoGkU8OCVCbt*N1LHQKNMfu7T3AVbz55Q1P-YLjLYLAdVNlyuZbF3G5uwLB--1OjR/9.jpg?width=650)
TAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8 JANUARY) LAFANA MJINI MOROGORO
Wasanii wa Hip hop katika anga ya muziki wa Bongofleva,Faridi Kubanda a.k.a Fid Q pamoja na Stamina wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la wazi la Tuo8January,hapo jana katika viwanja vya sabasaba mjini Morogoro. Msanii mwingine wa hip hop katika anga ya Bongofleva,ambaye amekuwa akifanya vyema kwenye muziki huo,Niki wa Pili akitumbuiza katika jukwaa la wazi la Tuo8Januari… ...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-vRXyvZsZbdU/VJo5cIXEWrI/AAAAAAACw30/yUZllxC6eYQ/s72-c/9.jpg)
TAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8JANUARY) LAFANA MJINI MOROGORO
![](http://4.bp.blogspot.com/-vRXyvZsZbdU/VJo5cIXEWrI/AAAAAAACw30/yUZllxC6eYQ/s1600/9.jpg)
Tuo8January ni kampeni maalum iliyozinduliwa hivi karibuni ikiwa na lengo la kuwahamasisha vijana kujitokeza kushiriki mchakato wa uchaguzi wa viongozi mbalimbali wanaowataka na wanaowaamini wana uwezo wa kuleta mabadiliko ya kinidhamu kwenye masuala ya msingi ya Taifa ...
10 years ago
Bongo510 Mar
Tu8 January haina uhusiano wowote na January Makamba — Fid Q
Rapper Fareed Kubanda aka Fid Q amedai kuwa kampeni aliyoanzisha mwaka jana ya Tu8 January ambayo ilishuhudia kufanyika kwa ziara za wasanii katika baadhi ya maeneo nchini, haina uhusiano wowote na January Makamba. Akiongea kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen ya Kenya, Fid alisema kampeni hiyo ilijihusisha na kuwataka vijana kujitokeza kwenda kujiandikisha […]
10 years ago
GPLFID -Q AZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA VIJANA KUCHAGUA VIONGOZI WA NCHI 2015
Msanii wa Hip hop, Farid Kubanda 'Fid Q' akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari juu ya kampeni yake aliyozindua maalumu kwa kuwahamasisha vijana wa Tanzania kushiriki kikamilifu kwenye mchakato wa kuchagua viongozi wa nchi mwaka 2015, huku akiwataka kuachana na kulalamikia viongozi wanaokuwepo madarakani wakati muda wa kupiga kula ukifika wao hawashiriki kikamilifu. Fid -Q (katikati) akiwa na… ...
10 years ago
Michuzi10 Dec
FID-Q AZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA TAIFA LETU.
Msanii nguli wa miondoko ya Hip-hop Fareed Kubanda – Fid Q amekutana na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sports Lounge katikakati ya jiji la Dar es Salaam, kujadili maswala ya msingi yenye mustakabali chanya kwa maendelo ya taifa hili. Ameitisha mkutano huu akiwa kama kijana na mwenye nafasi na ushawishi kwa vijana wenzie katika ushiriki wa kuleta mabadiliko chanya na maendeleo ya nchi yetu.
Fid Q amesukumwa kuzungumza na waandishi wa habari baada ya ...
Fid Q amesukumwa kuzungumza na waandishi wa habari baada ya ...
10 years ago
Michuzi13 Feb
Umeisikia kampeni ya EATV, East Africa Radio iitwayo “Zamu Yako 2015″?
![DSCN9941](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/rhNxKKXVD_OEPeT2_1lhbZv-1Hrvs7pmyv4lUy_1AFx8cFTziwj__c7aPWT4Hv6S327rUKSUwE1nb4FxKgoaFirVcSgLv-pH1IOvK55GefoalA=s0-d-e1-ft#http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSCN9941.jpg)
KITUO cha Televisheni chenye ushawishi mkubwa kwa vijana nchini Tanzania, EATV, sambamba na kituo chake cha East Africa Radio, mapema leo wamezindua rasmi kampeni kubwa na ya aina yake ijulikanayo kwa jina la ZAMU YAKO 2015.Akizungumza na wandishi wa habari jijini...
11 years ago
GPLAJITOLEA KUWAUNGANISHA VIJANA, AANZISHA LIGI YA BATA
Baadhi ya mashabiki wa ligi ya bata wakifuatilia mojawapo yamapambano. Baadhi ya wachezaji wakicheza soka. Hapa ni ‘wanaume kazini’.…
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-njIKwFOIRJk/UvDSCXMBpdI/AAAAAAAFK2Q/iGB9mGGgrGU/s72-c/Regional-Administration-and-Local-Government-Deputy-Minister-Education-Kassim-Majaliwa.jpg)
Mbunge wa Ruangwa aanzisha vilabu 102 vya michezo ili vijana wasijishughulishe na mambo ya uhalifu
![](http://1.bp.blogspot.com/-njIKwFOIRJk/UvDSCXMBpdI/AAAAAAAFK2Q/iGB9mGGgrGU/s1600/Regional-Administration-and-Local-Government-Deputy-Minister-Education-Kassim-Majaliwa.jpg)
Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Majaliwa Kassim Majaliwa ameanzisha vilabu 102 vya michezo kwa kuvipatia jezi na mipira ili kuhakikisha vijana wa jimbo hilo lililopo mkoani Lindi hawajishughulishi na matukio ya uhalifu .
Majaliwa ambaye pia ni Naibu waziri wa Elimu TAMISEMI aliyasema hayo hivi karibuni wakati wa kilele za sherehe za kutimiza miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zilizofanyika katika kata ya Likunja wilayani humo.
Katika...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-A7j6gcdY98s/Ve34INcjIuI/AAAAAAAAxOo/ReLT-uhGhVY/s72-c/IMG_6381.jpg)
MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE
![](http://2.bp.blogspot.com/-A7j6gcdY98s/Ve34INcjIuI/AAAAAAAAxOo/ReLT-uhGhVY/s640/IMG_6381.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania