Umeisikia kampeni ya EATV, East Africa Radio iitwayo “Zamu Yako 2015″?
Mkuu wa vipindi wa East Africa Radio, Nasser Kingu (kushoto) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua kampeni ya Zamu yako 2015, Kulia kwake ni Mkuu wa Masoko Eatv & East Africa Radio, Alex Galinoma.
KITUO cha Televisheni chenye ushawishi mkubwa kwa vijana nchini Tanzania, EATV, sambamba na kituo chake cha East Africa Radio, mapema leo wamezindua rasmi kampeni kubwa na ya aina yake ijulikanayo kwa jina la ZAMU YAKO 2015.Akizungumza na wandishi wa habari jijini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
EATV , East Africa Radio wazindua kampeni ya “Zamu Yako 2015″
Mkuu wa vipindi wa East Africa Radio, Nasser Kingu (kushoto) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua kampeni ya Zamu yako 2015, Kulia kwake ni Mkuu wa Masoko Eatv & East Africa Radio, Alex Galinoma.
Na Andrew Chale wa modewjiblog
KITUO cha Televisheni chenye ushawishi mkubwa kwa vijana nchini Tanzania, EATV, sambamba na kituo chake cha East Africa Radio, mapema leo wamezindua rasmi kampeni kubwa na ya aina yake ijulikanayo kwa jina la ZAMU YAKO...
10 years ago
Bongo513 Feb
EATV/EA Radio wazindua kampeni mpya ‘Zamu Yako 2015′
10 years ago
GPLEATV, EAST AFRICA RADIO ZAZUNGUMZIA KAMPENI YA ‘ZAMU YAKO 2015’
9 years ago
Bongo504 Nov
Shujaaz radio show na DJ Tee kuanza kuruka hewani kupitia East Africa Radio
Unamkumbuka yule dogo aliyeanzisha redio stesheni yake nyumbani kwao?
Bila shaka umewahi kusoma story yake kwenye kijarida cha kila mwezi kiitwacho SHUJAAZ ambacho husambazwa na gazeti la Mwanaspoti na vibanda vya Coca Cola.
Sasa hivi, dogo ana habari mpya na njema kwa vijana na wote wanaomfuatilia. Nyota imeanza kung’ara upande wake na sasa redio kubwa Tanzania EAST AFRICA RADIO imeamua kumpa nafasi aweze kusikika hewani na show yake mpya iitwayo SHUJAAZ.
“Show yangu itahusika na...
10 years ago
Africanjam.Com9 years ago
Dewji Blog04 Nov
SHUJAAZ RADIO SHOW NA DJ TEE: Kuanza kuruka hewani Jumamosi hii East Africa Radio
Unamkumbuka yule dogo aliyeanzisha redio stesheni yake nyumbani kwao? Bila shaka umewahi kusoma story yake kwenye kijarida cha kila mwezi kiitwacho SHUJAAZ ambacho husambazwa na gazeti la Mwanaspoti na vibanda vya Coca Cola. Sasa hivi, dogo ana habari mpya na njema kwa vijana na wote wanaomfuatilia. Nyota imeanza kung’ara upande wake na sasa redio kubwa Tanzania EAST AFRICA RADIO imeamua kumpa nafasi aweze kusikika hewani na show yake mpya iitwayo SHUJAAZ.
“Show yangu itahusika na...
11 years ago
GPLKENNETH KIDAGO WA EAST AFRICA RADIO AFARIKI DUNIA
10 years ago
Michuzi06 Dec
KITUO CHA RADIO 5 CHAANDAA “KAMPENI YA RADIO 5 VIWANJANI”MSIMU HUU WA SIKUKUU YA XMASS NA MWAKA MPYA
10 years ago
CloudsFM10 Dec
FID Q AANZISHA KAMPENI YA VIJANA IITWAYO TUONANE “JANUARY”
Staa wa Hip Hop Bongo,Farid Kubanda ‘’FID Q’ ambaye amekuwa akifanya project nyingi za kijamii ‘’ujamaa hiphop darasa’’ ambayo inawapa nafasi vijana kufahamishwa kuhusu nguzo za hiphop, ana online tv Cheusi Dawa Tv, na sasa hivi Fid Q ana project mpya kwa ajili ya kuwaamsha vijana, kampeni inaitwa Tuonane Januari.