KENNETH KIDAGO WA EAST AFRICA RADIO AFARIKI DUNIA
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Marehemu Kenneth Kidago Lyanga enzi ya uhai wake. Mbunifu Msaidizi na Mtangazaji wa Habari za Michezo wa East Africa Radio Kenneth Kidago Lyanga amefariki dunia nyumbani kwake Mwenge Mlalakua, Jijini Dar es Salaam. Mipango ya mazishi ya Kenneth Lyanga inafanywa na familia yake.Global Publishers tunatoa pole kwa familia ya marehemu Kenneth.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Kenneth Kidago Lyanga Mahala Pema Peponi,… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSAFARI YA MWISHO YA KENNETH KIDAGO LYANGA
9 years ago
Bongo504 Nov
Shujaaz radio show na DJ Tee kuanza kuruka hewani kupitia East Africa Radio
![EAR - Online Promo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/EAR-Online-Promo-300x194.jpg)
Unamkumbuka yule dogo aliyeanzisha redio stesheni yake nyumbani kwao?
Bila shaka umewahi kusoma story yake kwenye kijarida cha kila mwezi kiitwacho SHUJAAZ ambacho husambazwa na gazeti la Mwanaspoti na vibanda vya Coca Cola.
Sasa hivi, dogo ana habari mpya na njema kwa vijana na wote wanaomfuatilia. Nyota imeanza kung’ara upande wake na sasa redio kubwa Tanzania EAST AFRICA RADIO imeamua kumpa nafasi aweze kusikika hewani na show yake mpya iitwayo SHUJAAZ.
“Show yangu itahusika na...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-gk6VntmlYTk/VXs2OYzttBI/AAAAAAAACCM/kpVHh79s4pI/s72-c/EAST%2BAFRICA%2BRADIO.jpg)
9 years ago
Dewji Blog04 Nov
SHUJAAZ RADIO SHOW NA DJ TEE: Kuanza kuruka hewani Jumamosi hii East Africa Radio
Unamkumbuka yule dogo aliyeanzisha redio stesheni yake nyumbani kwao? Bila shaka umewahi kusoma story yake kwenye kijarida cha kila mwezi kiitwacho SHUJAAZ ambacho husambazwa na gazeti la Mwanaspoti na vibanda vya Coca Cola. Sasa hivi, dogo ana habari mpya na njema kwa vijana na wote wanaomfuatilia. Nyota imeanza kung’ara upande wake na sasa redio kubwa Tanzania EAST AFRICA RADIO imeamua kumpa nafasi aweze kusikika hewani na show yake mpya iitwayo SHUJAAZ.
“Show yangu itahusika na...
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
EATV , East Africa Radio wazindua kampeni ya “Zamu Yako 2015″
Mkuu wa vipindi wa East Africa Radio, Nasser Kingu (kushoto) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua kampeni ya Zamu yako 2015, Kulia kwake ni Mkuu wa Masoko Eatv & East Africa Radio, Alex Galinoma.
Na Andrew Chale wa modewjiblog
KITUO cha Televisheni chenye ushawishi mkubwa kwa vijana nchini Tanzania, EATV, sambamba na kituo chake cha East Africa Radio, mapema leo wamezindua rasmi kampeni kubwa na ya aina yake ijulikanayo kwa jina la ZAMU YAKO...
10 years ago
Michuzi13 Feb
Umeisikia kampeni ya EATV, East Africa Radio iitwayo “Zamu Yako 2015″?
![DSCN9941](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/rhNxKKXVD_OEPeT2_1lhbZv-1Hrvs7pmyv4lUy_1AFx8cFTziwj__c7aPWT4Hv6S327rUKSUwE1nb4FxKgoaFirVcSgLv-pH1IOvK55GefoalA=s0-d-e1-ft#http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSCN9941.jpg)
KITUO cha Televisheni chenye ushawishi mkubwa kwa vijana nchini Tanzania, EATV, sambamba na kituo chake cha East Africa Radio, mapema leo wamezindua rasmi kampeni kubwa na ya aina yake ijulikanayo kwa jina la ZAMU YAKO 2015.Akizungumza na wandishi wa habari jijini...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/610.jpg)
EATV, EAST AFRICA RADIO ZAZUNGUMZIA KAMPENI YA ‘ZAMU YAKO 2015’
9 years ago
AllAfrica.Com21 Dec
East Africa: Why All East Africans Are Looking Up to Magufuli
The Observer
AllAfrica.com
In the club of East Africa's Presidents, Tanzania's new leader John Pombe Magufuli is a lonely man. His peers threw their weight behind his electoral opponent, and when he won, they refused to even acknowledge him with routine congratulations. In ...
What would Magufuli do to attain sustainable energy access in Africa?The Observer (blog)
all 5
9 years ago
Radio Survivor08 Oct
Tanzania hosts East African community radio tech conference
Radio Survivor
Empower Local Radios with ICT It looks like today (October 7) saw the last day of a big workshop conference for East African community radio stations hosted by the city of Arusha in Tanzania. No less than 16 community radio stations participated; eight ...