Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EATV/EA Radio wazindua kampeni mpya ‘Zamu Yako 2015′

Kituo cha runinga cha EATV, sambamba na kituo chake cha East Africa Radio wamezindua kampeni iitwayo ZAMU YAKO 2015. Mkuu wa vipindi wa East Africa Radio, Nasser Kingu (kushoto) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua kampeni ya Zamu yako 2015, Kulia kwake ni Mkuu wa Masoko Eatv & East Africa Radio, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

EATV , East Africa Radio wazindua kampeni ya “Zamu Yako 2015″

DSCN9941

Mkuu wa vipindi wa East Africa Radio, Nasser Kingu (kushoto) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua kampeni ya Zamu yako 2015, Kulia kwake ni Mkuu wa Masoko Eatv & East Africa Radio, Alex Galinoma.

Na Andrew Chale wa modewjiblog

KITUO cha Televisheni chenye ushawishi mkubwa kwa vijana  nchini Tanzania, EATV, sambamba na kituo chake cha East Africa Radio,  mapema leo wamezindua rasmi kampeni kubwa na ya aina yake ijulikanayo kwa jina la ZAMU YAKO...

 

10 years ago

Michuzi

Umeisikia kampeni ya EATV, East Africa Radio iitwayo “Zamu Yako 2015″?

DSCN9941Mkuu wa vipindi wa East Africa Radio, Nasser Kingu (kushoto) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua kampeni ya Zamu yako 2015, Kulia kwake ni Mkuu wa Masoko Eatv & East Africa Radio, Alex Galinoma.
KITUO cha Televisheni chenye ushawishi mkubwa kwa vijana  nchini Tanzania, EATV, sambamba na kituo chake cha East Africa Radio,  mapema leo wamezindua rasmi kampeni kubwa na ya aina yake ijulikanayo kwa jina la ZAMU YAKO 2015.Akizungumza na wandishi wa habari jijini...

 

10 years ago

GPL

EATV, EAST AFRICA  RADIO ZAZUNGUMZIA KAMPENI YA  ‘ZAMU YAKO 2015’

 6.Wafanyakazi wa EATV na East Africa Radio wakiwa katika tukio hilo. Mmoja wa watangazaji wa EATV (kushoto) akizungumzia  walivyojipanga kuuhabarisha umma kuhusu suala hilo. Nikki wa Pili (kushoto) akitabasamu baada ya kuulizwa swali na mmoja wa wanahabari waliohudhuria hafla hiyo.…

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA RADIO 5 CHAANDAA “KAMPENI YA RADIO 5 VIWANJANI”MSIMU HUU WA SIKUKUU YA XMASS NA MWAKA MPYA

SAM_0369Radio 5 FM 105.7 imeandaa "kampeni ya RADIO 5 viwanjani" katika mkoa wa Arusha ambapo itawakutanisha watangazaji  na madjs na wasikilizaji wao katika kumbi za starehe kwa takribani wiki tano ikiwa ni sehemu ya kuwashukuru mashabiki wa Redio hiyo kwa kuwa pamoja kwa mwaka mzima huku mashabiki wakijipatia zawadi mbalimbali katika kampeni hiyo(katika picha ni Mtangazaji wa kituo cha Redio 5 Julius Kamafa aliyejizolea umaarufu mkubwa jijini Arusha kupitia kipindi chake cha funiko base ...

 

10 years ago

Michuzi

FINCA WAZINDUA KAMPENI YAO MPYA YA FIKA NA FINCA JIJINI DAR LEO

 Mkuu wa Huduma za Kibenki wa FINCA,Bwa.Gershom Mpangala akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani),kuhusiana na taasisi hiyo ya Kifedha kuzindua kampeni yake mpya  iliyojulikana kwa jina la Fika na Finca,kampeni inayolenga kuwafikia Watanzania wote kupitia huduma za kibenki na kuwasaidia kutimiza malengo ya kimaendeleo waliyojiwekea,Mkutano huo umefanyika kwenye moja ya Ofisi zao zilizopo Mwembechai Jijini Dar.Pichani kati Kaimu Afisa Mwendeshaji Mkuu wa FINCA ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Sasa ni Zamu ya Waigizaji Bora wa Kiume Piga Kura Yako Tuzo za Tafa

Mchakato unaendelea kwa kuwapigia kura waliopendekezwa kuwania tuzo za filamu Tanzania sasa ni zamu ya waigizaji bora wa kiume kwa mwaka 2015, kila mshindani anaonyesha shauku ya kutaka kuibuka mshindi wa tuzo za filamu Tanzania wote ni wakali mchangue anayemzidi mwezake.

Katika kundi hili unakutana wasanii kama Lumole Matovolwa, Jacob Stephen ‘JB’, Salim Ahmed ‘Gabo’, Omary clayton, Bicco Mathew, Brian Ibrick na Kulwa Kikumba ‘Dude’ ni mpambano wa kukata na shoka .

Piga kura kwa kufuata...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel na UNESCO wazindua radio ya kwanza Uvinza Kigoma

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha redio jamii Uvinza FM chini ya ufadhili wa shirika la UNESCO na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, ambapo wanawezesha jamii ziishizo pembezoni mwa nchini kupata mawasiliano ya radio jamii na kuboresha upatikanaji wa taarifa muhimu. wakishuhudia ni Meneja huduma kwa jamii Airtel Hawa Bayumi, Mwakilishi wa shirika la kimataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Rose Haji, na Mkurugenzi...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Radio & Weasel x Wizkid – Nipe Kinfunguo Yako

Wasanii kutoka Uganda Radio & Weasel wamekuja na wimbo huu unaitwa “Nipe Kinfunguo Yako” wapo na msanii Wizkid kutoka Nigeria hii ni ngoma ya pili wanafanya pamoja baada ya wimbo wa kwanza wa “Don’t Cry” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani Tanzania wazindua kampeni

Mgombea urais wa Muungano wa upinzani unaoitwa UKAWA nchini Tanzania Edward Lowassa leo amezindua kampeni za kugombea urais wa nchi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani