Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sasa ni Zamu ya Waigizaji Bora wa Kiume Piga Kura Yako Tuzo za Tafa

Mchakato unaendelea kwa kuwapigia kura waliopendekezwa kuwania tuzo za filamu Tanzania sasa ni zamu ya waigizaji bora wa kiume kwa mwaka 2015, kila mshindani anaonyesha shauku ya kutaka kuibuka mshindi wa tuzo za filamu Tanzania wote ni wakali mchangue anayemzidi mwezake.

Katika kundi hili unakutana wasanii kama Lumole Matovolwa, Jacob Stephen ‘JB’, Salim Ahmed ‘Gabo’, Omary clayton, Bicco Mathew, Brian Ibrick na Kulwa Kikumba ‘Dude’ ni mpambano wa kukata na shoka .

Piga kura kwa kufuata...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Piga kura ya maoni sasa

Bonyeza hapa kupiga kura online

The post Piga kura ya maoni sasa appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kutajwa Kama Muigizaji Bora wa Kike Kwenye Tuzo Za TAFA 2015, Irene Paul Ameyasema Haya

Staa mrembo wa Bongo Movies, Irene Paul  ameibuka mshindi wa tuzo za Tanzania Film Awards  (TAFA) 2015 kwenye kipengele cha muigizaji bora wa kike ‘Best Actress (in Lead Role)’ ambapo alikuwa akichuana na Irene Veda ,Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ , Rose Ndauka na Shamsa Ford.

Irene  ameeleza kuwa  filamu ya Never Give Up aliyoicheza na staa kutoka Ghana  Van Vicker ndioiliyomfanya ashind tuzo hiyo.

“Filamu iliyonifanya niwe msanii bora wa 2015 ni NEVER GIVE UP niliyoitwa na mzee kambi na...

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA MTV: DAVIDO MWANAMZIKI BORA WA KIUME

Mwanamziki Bora wa Kiume, David Adedeji Adeleke 'Davido' Katika kipengele  Mwanamziki Bora wa Kiume walikuwa ni Anselmo Ralph ( wa Angola), Davido (Nigeria), Donald ( Afrika Kusini) , Wizkid (Nigeria) na  Diamond Platnumz (Tanzania).  Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya hizo. Tuzo ya best collabo ilitangazwa awali na imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Bongo5

Forbes: Waigizaji wa kiume wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi 2014

Mtandao wa Forbes umetoa orodha ya waigizaji wa kiume wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi. Nao ni kama wafuatao: Robert Downey, Jr. Robert Downey, Jr. $75 million Dwayne Johnson ‘The Rock’ $52 million Bradley Cooper $46 million Leonardo DiCaprio $39 million Chris Hemsworth $37 million Liam Neeson $36 million Ben Affleck $35 million Christian Bale […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray Ashangazwa,Tuzo za TAFA

LICHA ya Shirikisho la Filamu nchini (TAFF) kufanikiwa kutoa tuzo za kwanza za TAFA, mwigizaji maarufu, Vicent Kigosi ‘Ray’, ameonyesha kutoridhishwa na uandaaji wa tuzo hizo.

Tuzo hizo zilitolewa juzi usiku katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, huku Ray akikosekana katika kipengele hata kimoja kati ya vilivyoshindanishwa.

Ray aliingia ukumbini hapo akiongozana na msichana wakiwa wamechelewa, ingawa walikuwa makini kufuatilia utoaji wa tuzo...

 

10 years ago

Mtanzania

Tuzo za TAFA zatolewa, Ray ashangaa

FARAJA MASINDE
LICHA ya Shirikisho la Filamu nchini (TAFF) kufanikiwa kutoa tuzo za kwanza za TAFA, mwigizaji maarufu, Vicent Kigosi ‘Ray’, ameonyesha kutoridhishwa na uandaaji wa tuzo hizo.
Tuzo hizo zilitolewa juzi usiku katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, huku Ray akikosekana katika kipengele hata kimoja kati ya vilivyoshindanishwa.
Ray aliingia ukumbini hapo akiongozana na msichana wakiwa wamechelewa, ingawa walikuwa makini kufuatilia utoaji...

 

10 years ago

Bongo Movies

Tuzo za Tafa, Zimetujenga Au Zimetubomoa? — Sehemu Ya 1

KWANZA napenda nianze kwa pongezi kwani kufanikisha tamasha la utoaji wa Tuzo za TAFA haikuwa ni shughuli ndogo, sote tunaweza kuongea kukosoa lakini TAFF wamefanya na tumeona ndio maana leo tunapata hata Kiburi cha kukosoa kwa sababu kinaonekana, hii haipotezi maana kuwa sisi hatuna mapenzi mema na waandaaji.

Ahadi ni Deni mimi na wewe tunadaiwa kwa wale waliotupa dhamana na kutuamini kama yale tuliyowaahidi tutayatekeleza kwao bila kutumia mamlaka vibaya kwa sababu wao wapo nje nasi ndani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani