Tuzo za Tafa, Zimetujenga Au Zimetubomoa? — Sehemu Ya 1
KWANZA napenda nianze kwa pongezi kwani kufanikisha tamasha la utoaji wa Tuzo za TAFA haikuwa ni shughuli ndogo, sote tunaweza kuongea kukosoa lakini TAFF wamefanya na tumeona ndio maana leo tunapata hata Kiburi cha kukosoa kwa sababu kinaonekana, hii haipotezi maana kuwa sisi hatuna mapenzi mema na waandaaji.
Ahadi ni Deni mimi na wewe tunadaiwa kwa wale waliotupa dhamana na kutuamini kama yale tuliyowaahidi tutayatekeleza kwao bila kutumia mamlaka vibaya kwa sababu wao wapo nje nasi ndani...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies25 May
Ray Ashangazwa,Tuzo za TAFA
LICHA ya Shirikisho la Filamu nchini (TAFF) kufanikiwa kutoa tuzo za kwanza za TAFA, mwigizaji maarufu, Vicent Kigosi ‘Ray’, ameonyesha kutoridhishwa na uandaaji wa tuzo hizo.
Tuzo hizo zilitolewa juzi usiku katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, huku Ray akikosekana katika kipengele hata kimoja kati ya vilivyoshindanishwa.
Ray aliingia ukumbini hapo akiongozana na msichana wakiwa wamechelewa, ingawa walikuwa makini kufuatilia utoaji wa tuzo...
10 years ago
Mtanzania25 May
Tuzo za TAFA zatolewa, Ray ashangaa
FARAJA MASINDE
LICHA ya Shirikisho la Filamu nchini (TAFF) kufanikiwa kutoa tuzo za kwanza za TAFA, mwigizaji maarufu, Vicent Kigosi ‘Ray’, ameonyesha kutoridhishwa na uandaaji wa tuzo hizo.
Tuzo hizo zilitolewa juzi usiku katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, huku Ray akikosekana katika kipengele hata kimoja kati ya vilivyoshindanishwa.
Ray aliingia ukumbini hapo akiongozana na msichana wakiwa wamechelewa, ingawa walikuwa makini kufuatilia utoaji...
10 years ago
MichuziShirikisho la Filamu Tanzania laomba Wadau mbalimbali kutoa Ufadhili wa Tuzo za TAFA.
10 years ago
Bongo Movies24 May
Hawa Ndio Washindi wa Tuzo za Taifa za Filamu, Tanzania Film Awards (TAFA)
1. Best Actress In Leading Role: Irene Paul
2. Best Comedian: King Majuto
3 .Best Supporting Actress: Grace Mapunda
4. Best Supporting Actor (Male): Tino Hisani Muya
5. Best Screenplay: Irene Sanga
6. Tribute Award (Film Industry Support) : President Jakaya Kikwete
7. Tribute Personality Award: Steven Kanumba
8. Tribute Media : Zamaradi Mketema For Takeone(Clouds TV/Fm)
9. Life Time Achievement Award: Mzee Jangala
10. Best Feature Film : Network
11. Best Director : John Kalaghe
12. Best...
10 years ago
Bongo Movies09 May
Sasa ni Zamu ya Waigizaji Bora wa Kiume Piga Kura Yako Tuzo za Tafa
Mchakato unaendelea kwa kuwapigia kura waliopendekezwa kuwania tuzo za filamu Tanzania sasa ni zamu ya waigizaji bora wa kiume kwa mwaka 2015, kila mshindani anaonyesha shauku ya kutaka kuibuka mshindi wa tuzo za filamu Tanzania wote ni wakali mchangue anayemzidi mwezake.
Katika kundi hili unakutana wasanii kama Lumole Matovolwa, Jacob Stephen ‘JB’, Salim Ahmed ‘Gabo’, Omary clayton, Bicco Mathew, Brian Ibrick na Kulwa Kikumba ‘Dude’ ni mpambano wa kukata na shoka .
Piga kura kwa kufuata...
10 years ago
Bongo Movies24 May
Baada ya Kutajwa Kama Muigizaji Bora wa Kike Kwenye Tuzo Za TAFA 2015, Irene Paul Ameyasema Haya
Staa mrembo wa Bongo Movies, Irene Paul ameibuka mshindi wa tuzo za Tanzania Film Awards (TAFA) 2015 kwenye kipengele cha muigizaji bora wa kike ‘Best Actress (in Lead Role)’ ambapo alikuwa akichuana na Irene Veda ,Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ , Rose Ndauka na Shamsa Ford.
Irene ameeleza kuwa filamu ya Never Give Up aliyoicheza na staa kutoka Ghana Van Vicker ndioiliyomfanya ashind tuzo hiyo.
“Filamu iliyonifanya niwe msanii bora wa 2015 ni NEVER GIVE UP niliyoitwa na mzee kambi na...
10 years ago
TheCitizen29 May
Night of glamour as TAFA honour its cream
10 years ago
TheCitizen28 Nov
COVER: TAFA spells new dawn for bongo movies
10 years ago
Vijimambo