Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya Kutajwa Kama Muigizaji Bora wa Kike Kwenye Tuzo Za TAFA 2015, Irene Paul Ameyasema Haya

Staa mrembo wa Bongo Movies, Irene Paul  ameibuka mshindi wa tuzo za Tanzania Film Awards  (TAFA) 2015 kwenye kipengele cha muigizaji bora wa kike ‘Best Actress (in Lead Role)’ ambapo alikuwa akichuana na Irene Veda ,Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ , Rose Ndauka na Shamsa Ford.

Irene  ameeleza kuwa  filamu ya Never Give Up aliyoicheza na staa kutoka Ghana  Van Vicker ndioiliyomfanya ashind tuzo hiyo.

“Filamu iliyonifanya niwe msanii bora wa 2015 ni NEVER GIVE UP niliyoitwa na mzee kambi na...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Lupita Nyong'o kutoka kenya ashinda tuzo ya oscar ya muigizaji msaidizi bora wa kike

Muigizaji Lupita Nyong'o kutoka Kenya amenyakuwa tuzo ya Oscar ya mwigizaji msaidizi wa kike (Best Supporting actress) kwa uigizaji wake katika  filamu ya utumwa ya ''12 Years A Slave.'' leo  alfajiri mjini Los Angeles, Marekani.  Muigizaji  Will Smith ndiye aliyetangaza matokeo hayo, na baada ya kupokea tuzo hiyo kwa shangwe Lupita alifunguka na kusema: " Haikwepi mawazo yangu kwamba hata dakika moja ya furaha katika maisha yangu ni shukrani na maumivu makubwa kwa mtu mwingine.'' pia...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jokate Aibuka Muigizaji Bira wa Kike Kwenye Tuzo za ZIFF

“Shukrani Sana Zanzibar International Film Festival Kwa Kuona Moja Ya Vipaji Vyangu Kwa Kunipa Tuzo Ya Muigizaji Bora Wa Kike In Swahili Film. Asante Sana Sana Pia @jb_jerusalemfilms Kwa Fursa Ya Kufanya Kazi Nawewe Na Kwa Kutambua Kipaji Changu. Thank You ZIFF for this Honor. God Bless.”

Ameaandika jokate kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram.

Washindi wengine wa tuzo hizo zilizotolewa usiku wa jana, katika upande wa Bongo Movies ni kama ifuatavyo.

1. People’s Choice Award –...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya

Weekend iliyopita ulifanyika uchaguzi kwenye jimbo la Arusha mjini kumtafuta Mbunge ambaye ataliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano ijayo ambapo Mshindi alitangazwa kuwa Godbless Lema wa CHADEMA, pamoja na ushindi wake kutangazwa aliyekua mgombea wa CCM Philemon Mollel amejitokeza kusema ushindi ni batili. Sababu zote zilizomfanya Mollel kusema ushindi huo ni batili zipo ukibonyeza play […]

The post Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya appeared first...

 

9 years ago

Dewji Blog

Haya ndiyo majina matatu (3) ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora duniani 2015

ballon-shortlist

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Shirikisho la soka duniani (FIFA) limetaja majina matatu (3) ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2015.

Majina hayo matatu (3) yamepatikana kutoka kwa majina 23 aliyokuwa yamependekezwa awali. Majina hayo ni;

Cristiano Ronaldo (Ureno – Real Madrid)

Lionel Messi (Argentina – Barcelona)

Neymar da Silva Santos (Brazil – Barcelona)

Kwa upande wa wanawake FIFA imewataja;

Carli Lloyd (Houston Dash -USA)

Aya Miyama (Okayama Yunogo Belle –...

 

10 years ago

GPL

TUZO YAMTIA ‘UCHIZI’ IRENE PAUL!

Brighton Masalu
STAA wa filamu Bongo, Irene Paul ‘Smart Girl’ amezua mshangao baada ya kupiga mayowe huku akirusha mikono kushangilia tuzo aliyopata jambo lililozua miguno kwa waliomshuhudia. Staa wa filamu Bongo, Irene Paul ‘Smart Girl’ akitahayari wakati wa kuchukua tuzo. ‘Katukio’ hako ‘amazing’ kalishuhudiwa na paparazi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Jengo la...

 

10 years ago

Bongo Movies

Sasa ni Zamu ya Waigizaji Bora wa Kiume Piga Kura Yako Tuzo za Tafa

Mchakato unaendelea kwa kuwapigia kura waliopendekezwa kuwania tuzo za filamu Tanzania sasa ni zamu ya waigizaji bora wa kiume kwa mwaka 2015, kila mshindani anaonyesha shauku ya kutaka kuibuka mshindi wa tuzo za filamu Tanzania wote ni wakali mchangue anayemzidi mwezake.

Katika kundi hili unakutana wasanii kama Lumole Matovolwa, Jacob Stephen ‘JB’, Salim Ahmed ‘Gabo’, Omary clayton, Bicco Mathew, Brian Ibrick na Kulwa Kikumba ‘Dude’ ni mpambano wa kukata na shoka .

Piga kura kwa kufuata...

 

9 years ago

Dewji Blog

SPORT NEWS: Haya ndiyo majina matano ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika ya BBC 2015

Wachezaji wanaoeania tuzo hiyo

Na Rabi Hume

Shirika la Utangazaji la Wingereza limetangaza majina matano (5) ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2015.

Katika orodha hiyo pia yupo mchezaji aliyetwa tuzo hiyo msimu uliopita, Yacine Brahimi anayekipiga katika katika klabu ya Porto inayoshiriki ligi kuu ya Ureno na timu ya Taifa ya Algeria.

Majina kamili ya wachezaji hao;

1. Pierre – Emerick Aubameyang   (Gabon, Borussia Dortmund)

2. Andre Ayew   (Ghana, Swansea)

3. Sadio Mane    (Senegal,...

 

11 years ago

GPL

IRENE PAUL: SIBAGUI DINI, KABILA KWENYE MAPENZI

Na Imelda Mtema
MTOTO mzuri kwenye kilinge cha Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa kwenye suala la uhusiano, hana kipingamizi sana kwani anachoangalia ni mtu anayempenda haijalishi dini wala kabila. Irene Paul. Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni jijini Dar, Irene alisema licha ya kuwa bado hajamuanika mpenzi wake lakini suala la dini, kabila kwake siyo ishu ya msingi zaidi anaangalia mapenzi ya dhati.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani