IRENE PAUL: SIBAGUI DINI, KABILA KWENYE MAPENZI
![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK5ipVEEM3HMnseApwNwHiQ5-sI1DxAUVhhHQfUWGYyfsq8ZB15O6tuTJAWZTFMXnZaJw0egqBiTnX7qQ-CHydHo/IRENE.jpg?width=650)
Na Imelda Mtema MTOTO mzuri kwenye kilinge cha Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa kwenye suala la uhusiano, hana kipingamizi sana kwani anachoangalia ni mtu anayempenda haijalishi dini wala kabila. Irene Paul. Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni jijini Dar, Irene alisema licha ya kuwa bado hajamuanika mpenzi wake lakini suala la dini, kabila kwake siyo ishu ya msingi zaidi anaangalia mapenzi ya dhati.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies24 May
Baada ya Kutajwa Kama Muigizaji Bora wa Kike Kwenye Tuzo Za TAFA 2015, Irene Paul Ameyasema Haya
Staa mrembo wa Bongo Movies, Irene Paul ameibuka mshindi wa tuzo za Tanzania Film Awards (TAFA) 2015 kwenye kipengele cha muigizaji bora wa kike ‘Best Actress (in Lead Role)’ ambapo alikuwa akichuana na Irene Veda ,Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ , Rose Ndauka na Shamsa Ford.
Irene ameeleza kuwa filamu ya Never Give Up aliyoicheza na staa kutoka Ghana Van Vicker ndioiliyomfanya ashind tuzo hiyo.
“Filamu iliyonifanya niwe msanii bora wa 2015 ni NEVER GIVE UP niliyoitwa na mzee kambi na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6ZB02TdaGP1L3UZB4emPhuEJuDCemZTfbKFcgCaVmKLgfWV*u42wIESaX0HY6O6gHgsjRS5Lm-vlEiB8tljyg4C/AUNTY.jpg?width=650)
IRENE PAUL: TUMEBUMA KIMATAIFA
10 years ago
Bongo Movies07 Jun
Irene Paul Kuja na Filamu ya Shukrani
Mshindi wa tuzo ya muigizaji bora wa kike 2015, Irene Paul ameandaa filamu kama zawadi kwa mashabiki wa filamu kwa kutambua kazi anazozifanya na kumpigia kura nyingi zilizompa ushindi.
Akizungumza na Gazeti la Nipashe Irene alisema ana washukuru Watanzania kwa kumpokea tangu alipoingia katika uigizaji lakini pia ameamua kutenfgeneza filamu ambayo bado hajaipa jina ikiwa ni kwaajili ya kurudisha hisani kwa wanaomkubali.
Irene ambaye alishinda tuzo hiyo ya muigizaji bora wa kike kupitia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kxa-PchAiXXT6G9psM8SUOAApEn5CD01LPWvwvcU7MksAp7HxDD*kSdoSuMRdapTZnXpKbtTDBHsD4H7WQGDKxspzqeGKlp8/iren.jpg?width=650)
IRENE PAUL, DAVINA NUSU WACHAPANE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0qqY0JxmaXvegs5McYOa0Lw53aO-rSpAfVbabrqdhy2LScvudu3PKFFN8hHMgvm9q7A8xKkQEGETHHiaFw3jmtz/irene.jpg)
IRENE PAUL ATESWA NA BIFU LA KUAMBIANA
9 years ago
Bongo Movies21 Sep
Irene Paul Awavaa Mastaa Wanaogombana!
Mshangao! Staa wa sinema za Kibongo, Irene Paul amewavaa baadhi ya mastaa wenzake wanaolumbana na kutenganishwa na siasa bila kujua kuna maisha baada ya uchaguzi wa Oktoba 25.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Irene alisema kuwa haoni kama ni vyema wasanii kugawanyika na kutengana kimakundi kwa sababu ya siasa ambalo ni jambo la mpito ambapo baadaye kila mtu atarudi kwenye maisha yake ya kila siku.
“Nawaomba wasanii wasijisahau kabisa kuwa maisha yao ya kila siku yatarudi hivyo wajiepushe na...
9 years ago
GPLIRENE PAUL AWAVAA MASTAA WANAOGOMBANA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyInYgthSq0hvbd8SsSQj1WK8Eh3dvzglUxM4KBqrxbNWSyJ7CKV7S*d2VYEhQIhnzcJe6rM2RDKOxcMpQG5ldU20/irenpo.jpg)
IRENE PAUL AISHI NA MWANAUME BILA NDOA
9 years ago
Bongo506 Oct
Urembo wa Irene Paul wamdatisha Bonge la Nyau!