Urembo wa Irene Paul wamdatisha Bonge la Nyau!
Urembo na uchapakazi wa mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu, Irene Paul umemdatisha msanii wa muziki, Bonge La Nyau aka Nyauloso. Nyauloso ameiambia Nje ya Box ya kipindi cha Planet Bongo cha EATV, kuwa anatadishwa mno na miondoko ya mwanadada huo. “Irene Paul kwanza ukiachana na mambo yote mimi ni shabiki yake,” alisema rapper […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies07 Oct
Hizi ndizo sababu za Bonge la Nyau Kudatishwa na Irene Paul
Urembo na uchapakazi wa mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu, Irene Paul umemdatisha msanii wa muziki, Bonge La Nyau aka Nyauloso.
Nyauloso ameiambia Nje ya Box ya kipindi cha Planet Bongo cha EATV, kuwa anatadishwa mno na miondoko ya mwanadada huyo.
“Irene Paul kwanza ukiachana na mambo yote mimi ni shabiki yake,” alisema rapper huyo.
“Ni mtu ambaye nakuwa naangalia sana kazi zake. Lakini ni mtu ambaye mimi mwenyewe nikimuona najihisi kuna kitu. Unajua yule ni mzuri, ni...
9 years ago
Bongo507 Nov
Music: Nana Lava Ft Bonge La Nyau — Kokoro
![nana](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/nana-300x194.jpg)
Wimbo mpya wa Mwanadada Nana Lava unaitwa “Kokoro” amemshirikisha Bonge La Nyau, Producer Aloneym
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/lkbXJkmCF_Y/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6ZB02TdaGP1L3UZB4emPhuEJuDCemZTfbKFcgCaVmKLgfWV*u42wIESaX0HY6O6gHgsjRS5Lm-vlEiB8tljyg4C/AUNTY.jpg?width=650)
IRENE PAUL: TUMEBUMA KIMATAIFA
9 years ago
Bongo Movies21 Sep
Irene Paul Awavaa Mastaa Wanaogombana!
Mshangao! Staa wa sinema za Kibongo, Irene Paul amewavaa baadhi ya mastaa wenzake wanaolumbana na kutenganishwa na siasa bila kujua kuna maisha baada ya uchaguzi wa Oktoba 25.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Irene alisema kuwa haoni kama ni vyema wasanii kugawanyika na kutengana kimakundi kwa sababu ya siasa ambalo ni jambo la mpito ambapo baadaye kila mtu atarudi kwenye maisha yake ya kila siku.
“Nawaomba wasanii wasijisahau kabisa kuwa maisha yao ya kila siku yatarudi hivyo wajiepushe na...
9 years ago
GPLIRENE PAUL AWAVAA MASTAA WANAOGOMBANA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0qqY0JxmaXvegs5McYOa0Lw53aO-rSpAfVbabrqdhy2LScvudu3PKFFN8hHMgvm9q7A8xKkQEGETHHiaFw3jmtz/irene.jpg)
IRENE PAUL ATESWA NA BIFU LA KUAMBIANA
10 years ago
Bongo Movies07 Jun
Irene Paul Kuja na Filamu ya Shukrani
Mshindi wa tuzo ya muigizaji bora wa kike 2015, Irene Paul ameandaa filamu kama zawadi kwa mashabiki wa filamu kwa kutambua kazi anazozifanya na kumpigia kura nyingi zilizompa ushindi.
Akizungumza na Gazeti la Nipashe Irene alisema ana washukuru Watanzania kwa kumpokea tangu alipoingia katika uigizaji lakini pia ameamua kutenfgeneza filamu ambayo bado hajaipa jina ikiwa ni kwaajili ya kurudisha hisani kwa wanaomkubali.
Irene ambaye alishinda tuzo hiyo ya muigizaji bora wa kike kupitia...