Hizi ndizo sababu za Bonge la Nyau Kudatishwa na Irene Paul
Urembo na uchapakazi wa mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu, Irene Paul umemdatisha msanii wa muziki, Bonge La Nyau aka Nyauloso.
Nyauloso ameiambia Nje ya Box ya kipindi cha Planet Bongo cha EATV, kuwa anatadishwa mno na miondoko ya mwanadada huyo.
“Irene Paul kwanza ukiachana na mambo yote mimi ni shabiki yake,” alisema rapper huyo.
“Ni mtu ambaye nakuwa naangalia sana kazi zake. Lakini ni mtu ambaye mimi mwenyewe nikimuona najihisi kuna kitu. Unajua yule ni mzuri, ni...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Oct
Urembo wa Irene Paul wamdatisha Bonge la Nyau!
9 years ago
Vijimambo29 Oct
HIZI NDIZO SABABU YA KWANINI MATOKEO YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO KURA ZILIZOPIGWA ZANZIBAR HAYAKUATHIRI KURA ZA NEC
![](https://zanzibarislamicnews.files.wordpress.com/2010/08/tume.jpg?w=570)
Katika uchaguzi wa Zanzibar, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge.
Kwenye kituo cha kupigia kura kuna meza 2. Moja ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) na nyingine ni ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Meza ya NEC ina watumishi wake na Meza ya ZEC ina watumishi wake.
Watumishi wa NEC wanaripoti moja kwa moja kwa NEC na watumishi wa ZEC wanaripoti moja kwa moja...
9 years ago
Bongo507 Nov
Music: Nana Lava Ft Bonge La Nyau — Kokoro
![nana](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/nana-300x194.jpg)
Wimbo mpya wa Mwanadada Nana Lava unaitwa “Kokoro” amemshirikisha Bonge La Nyau, Producer Aloneym
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/lkbXJkmCF_Y/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eGJdezr2p4XW-Es953cXqfrbjFWvzA0sSSSlaqB4UpYxl1eTyZ9XiKNlwSvGUvu6AS71fuUG1L7emIesexBCvLN6lrBUbKVV/HY23FREEMASONRY01_1495459f.jpg?width=650)
HIZI NDIZO TABIA ZA FREEMASONS
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Hizi ndizo sifa za mwalimu bora- 2
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Hizi ndizo sifa za mwalimu bora- 1
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Hizi ndizo hisia tata za mapenzi ya kweli
KATIKA suala la uhusiano wa kimapenzi, hapana shaka mpenzi mwenye kumpenda mpendwa wake kwa dhati hisia zake za kimapenzi huwa tofauti sana na yule mwenye mapenzi ya ulaghai.
Mpenzi mwenye mapenzi ya kweli hisia zake hugusa kutoka ndani ya moyo wake, ambapo wakati mwingine si rahisi hata pale mmoja anapojaribu kumshauri au kumshawishi kuhusu jambo fulani baya juu ya ampendaye akaweza kuelewa.
Mpenzi wa namna hii huwa kama mjinga ambaye ukimtishia nyau au bastola ya watoto atoe pesa...