Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HIZI NDIZO SABABU YA KWANINI MATOKEO YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO KURA ZILIZOPIGWA ZANZIBAR HAYAKUATHIRI KURA ZA NEC



Katika uchaguzi wa Zanzibar, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge.

Kwenye kituo cha kupigia kura kuna meza 2. Moja ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) na nyingine ni ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Meza ya NEC ina watumishi wake na Meza ya ZEC ina watumishi wake.

Watumishi wa NEC wanaripoti moja kwa moja kwa NEC na watumishi wa ZEC wanaripoti moja kwa moja...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

NEC: Matokeo kura za urais kubandikwa vituoni

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuanzia sasa itaanza kubandika matokeo ya kura za urais kwenye vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ili kuongeza uwazi na kupunguza malalamiko ya wizi wa kura.

 

9 years ago

Vijimambo

Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar Wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar Wakisubiri Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar

Viongozi wa Chama cha CCM wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri matokeo ya Kura za Wagombea Urais wa Zanzibar kutangwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salim Jecha, Ukumbi wa Salama ndio kituo Kikuu cha kutangazia Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar. Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Salama wakisubiri kutaja kwa Matokeo ya Urais wa Zanzibar na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.Viongozi wa Chama cha CUF wakiwa katika ukumbi wa Salama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NEC yataja sababu wananchi kutopiga kura

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetaja sababu zinazochangia wananchi kushindwa kujitokeza kupiga kura katika chaguzi mbalimbali nchini. Sababu hizo zimetajwa mjini Bagamoyo jana na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian...

 

9 years ago

Vijimambo

KURA ZA USHINDI WA URAIS HIZI HAPA

Huku zikiwa zimebaki siku 45 kuanzia leo kabla ya kufikiwa siku ya kupiga kura Oktoba 25 mwaka huu, imedhihirika kuwa wagombea wote wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwamo Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), watalazimika kufanya kazi ya ziada kushawishi wapigakura wa mikoa tisa ili kujihakikishia ushindi.

Uchunguzi uliofanywa na Nipashe umebaini kuwa mikoa hiyo tisa, ikiwamo yenye majiji...

 

9 years ago

Bongo Movies

Hizi ndizo sababu za Bonge la Nyau Kudatishwa na Irene Paul

Urembo na uchapakazi wa mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu, Irene Paul umemdatisha msanii wa muziki, Bonge La Nyau aka Nyauloso.

Nyauloso ameiambia Nje ya Box ya kipindi cha Planet Bongo cha EATV, kuwa anatadishwa mno na miondoko ya mwanadada huyo.

“Irene Paul kwanza ukiachana na mambo yote mimi ni shabiki yake,” alisema rapper huyo.

“Ni mtu ambaye nakuwa naangalia sana kazi zake. Lakini ni mtu ambaye mimi mwenyewe nikimuona najihisi kuna kitu. Unajua yule ni mzuri, ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Hizi ndizo ndoto za waowania urais za kuiondoa nchi kwenye umaskini

Oktoba mwaka huu Watanzania wanatarajia kumpokea rais mpya wa awamu ya tano kwa imani kuwa atakata kiu kubwa ya watu wanaopenda kuona wanawekewa mazingira mazuri ya kuondokana na umaskini.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura……Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE

Wednesday, September 30, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, amesema kura zote za urais, ubunge na udiwani, zitahesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo yote kutangazwa hapo hapo […]

The post Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura……Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE appeared first on Mzalendo.net.

 

5 years ago

CCM Blog

WAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu mafanikio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Kwanza kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Nec, Dkt.  Wilson Charles Mahera Baadhi ya viongozi  wa Vyama vya Siasa na wadau wengine wakisikiliza kwa makini wakati Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Kaijage akihutubia katika mkutano...

 

5 years ago

Michuzi

WAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI WAPIGA KURA NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu mafanikio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Kwanza kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Nec, Dkt.  Wilson Charles Mahera Baadhi ya viongozi  wa Vyama vya Siasa na wadau wengine wakisikiliza kwa makini wakati Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Kaijage akihutubia katika mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani