Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hizi ndizo ndoto za waowania urais za kuiondoa nchi kwenye umaskini

Oktoba mwaka huu Watanzania wanatarajia kumpokea rais mpya wa awamu ya tano kwa imani kuwa atakata kiu kubwa ya watu wanaopenda kuona wanawekewa mazingira mazuri ya kuondokana na umaskini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

HIZI NDIZO SABABU YA KWANINI MATOKEO YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO KURA ZILIZOPIGWA ZANZIBAR HAYAKUATHIRI KURA ZA NEC



Katika uchaguzi wa Zanzibar, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge.

Kwenye kituo cha kupigia kura kuna meza 2. Moja ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) na nyingine ni ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Meza ya NEC ina watumishi wake na Meza ya ZEC ina watumishi wake.

Watumishi wa NEC wanaripoti moja kwa moja kwa NEC na watumishi wa ZEC wanaripoti moja kwa moja...

 

10 years ago

GPL

HIZI NDIZO TABIA ZA FREEMASONS

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale ambapo Sir Chande, kiongozi mstaafu wa taasisi hiyo Afrika Mashariki alipokuwa akishukuru kupewa heshima na vyombo vya kitaifa na kimataifa.
Baadhi ya vitabu vinaonesha kwamba hakuna anayejua wanachokifanya wanachama wa Freemasonry lakini inaaminika kuwa viongozi wakuu wa Tanzania wanajua kila kitu.
SASA ENDELEA… Katika zama tulizo nazo swali la nani ni Freemason...

 

10 years ago

Mwananchi

Hizi ndizo sifa za mwalimu bora- 2

Katika makala iliyopita tuliangalia baadhi ya sifa anazotakiwa kuwa nazo mwalimu. Katika makala haya tutaendelea na sifa nyingine.

 

10 years ago

Mwananchi

Hizi ndizo sifa za mwalimu bora- 1

Ualimu ni mojawapo ya fani muhimu kwa maendeleo ya taifa lolote lile duniani. Kila mmoja wetu anatambua umuhimu na michango ya walimu katika maisha yake ya kila siku.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Hizi ndizo hisia tata za mapenzi ya kweli

KATIKA suala la uhusiano wa kimapenzi, hapana shaka mpenzi mwenye kumpenda mpendwa wake kwa dhati hisia zake za kimapenzi huwa tofauti sana na yule mwenye mapenzi ya ulaghai.

Mpenzi mwenye mapenzi ya kweli hisia zake hugusa kutoka ndani ya moyo wake, ambapo wakati mwingine si rahisi hata pale mmoja anapojaribu kumshauri au kumshawishi kuhusu jambo fulani baya juu ya ampendaye akaweza kuelewa.

Mpenzi wa namna hii huwa kama mjinga ambaye ukimtishia nyau au bastola ya watoto atoe pesa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mr Chuz: Hizi ndizo kanuni 10 za maisha yangu ya kila siku

>Mtayarishaji  wa filamu na Mkurugenzi wa Kundi la Tuesday Entertainment Ltd, Tuesday Kihangala maarufu Mr Chuzi, amezitaja sababu zinazomfanya aendelee kuwepo na kufanya vizuri kwenye tasnia licha ya kuwepo kwa tuhuma nyingi na tofauti dhidi yake.

 

9 years ago

Bongo Movies

Hizi ndizo sababu za Bonge la Nyau Kudatishwa na Irene Paul

Urembo na uchapakazi wa mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu, Irene Paul umemdatisha msanii wa muziki, Bonge La Nyau aka Nyauloso.

Nyauloso ameiambia Nje ya Box ya kipindi cha Planet Bongo cha EATV, kuwa anatadishwa mno na miondoko ya mwanadada huyo.

“Irene Paul kwanza ukiachana na mambo yote mimi ni shabiki yake,” alisema rapper huyo.

“Ni mtu ambaye nakuwa naangalia sana kazi zake. Lakini ni mtu ambaye mimi mwenyewe nikimuona najihisi kuna kitu. Unajua yule ni mzuri, ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani