Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yataja sababu wananchi kutopiga kura

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetaja sababu zinazochangia wananchi kushindwa kujitokeza kupiga kura katika chaguzi mbalimbali nchini. Sababu hizo zimetajwa mjini Bagamoyo jana na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sababu za wananchi kutopiga kura zatajwa

CHANGAMOTO zinazowakabili wananchi kutopatiwa ufumbuzi ama kupewa kipaumbele na viongozi wa kisiasa zimeelezwa kuwa chanzo cha wananchi kususia uchaguzi na kuendelea na shughuli zao za kila siku. Hayo yameelezwa jana...

 

11 years ago

Habarileo

Askofu TAG ataja sababu za Watanzania kutopiga kura

SERIKALI imeshauriwa kuangalia upya siku za upigaji kura katika uchaguzi zake mbalimbali zinazowahusisha wananchi wote hususani zile za udiwani, ubunge na urais ili kuhamasisha wananchi wengi zaidi kujitokeza.

 

9 years ago

Vijimambo

HIZI NDIZO SABABU YA KWANINI MATOKEO YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO KURA ZILIZOPIGWA ZANZIBAR HAYAKUATHIRI KURA ZA NEC



Katika uchaguzi wa Zanzibar, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge.

Kwenye kituo cha kupigia kura kuna meza 2. Moja ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) na nyingine ni ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Meza ya NEC ina watumishi wake na Meza ya ZEC ina watumishi wake.

Watumishi wa NEC wanaripoti moja kwa moja kwa NEC na watumishi wa ZEC wanaripoti moja kwa moja...

 

10 years ago

Habarileo

Waishio nje ya nchi kutopiga kura

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo wakati wa ziara yake juzi. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya kufikiwa kwa hatua hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

NEC yataka wananchi wajitokeze katika uhakiki wa wazi wa kuwezesha kupiga kura.

Na Chalila Kibuda,Michuzi TV

 Wananchi waliojiandikisha katika Daftari la wapiga kura Mwaka 2015 na wale waliojiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari Awamu ya kwanza wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao pindi Daftari litakapowekwa wazi katika maeneo yao na watumie njia nyingine za uhakiki Kama ilivyoelekezwa.

Rai imetolewa leo Jijini Dar es salaam na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa Semistocles Kaijage katika ufunguzi wa mkutano ulioandaliwa na Tume ya Taifa ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watishia kutopiga kura kwa kunyimwa ardhi

BAADHI ya wakazi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, mkoani Pwani, wamesema hawatashiriki kupiga kura katika chaguzi mbalimbali zinazotarajiwa kuanza hivi karibuni endapo jirani zao wa Mtaa wa Vingunguti...

 

10 years ago

Habarileo

Nusu ya wakazi Dar kutopiga kura Des. 14

Saidi Meck Sadiki ASILIMIA 42 ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam ndiyo waliojitokeza kujiandikisha kwa ajili ya upigaji kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Desemba 14, mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

WB yataja sababu za umaskini Afrika

Sera mbovu, rushwa, migogoro, kukosekana kwa uwazi ni miongoni mwa vyanzo vya umaskini katika nchi za Afrika, imeelezwa.

 

10 years ago

Vijimambo

PINDA - WATANZANIA WAISHIO NJE KUTOPIGA KURA OKTOBA

*Waziri Mkuu aomba Watanzania waiombee nchi yao. (Picha na Maktaba yetu)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya zoezi hilo kufanyika.
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Aprili 11, 2015) wakati akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Balozi Peter...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani