TUZO YAMTIA ‘UCHIZI’ IRENE PAUL!

Brighton Masalu STAA wa filamu Bongo, Irene Paul ‘Smart Girl’ amezua mshangao baada ya kupiga mayowe huku akirusha mikono kushangilia tuzo aliyopata jambo lililozua miguno kwa waliomshuhudia. Staa wa filamu Bongo, Irene Paul ‘Smart Girl’ akitahayari wakati wa kuchukua tuzo. ‘Katukio’ hako ‘amazing’ kalishuhudiwa na paparazi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Jengo la...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies12 Oct
Wolper Ndoa Yamtia ‘Uchizi’
CHIZIKA! Wakati hekeheka za maandalizi zikipamba juu ya ndoa ya karne ya staa wa sinema za Kibongo, Wolper, mwanadada huyo anaonekana kuingiwa na ‘uchizi’ juu ya suala hilo ambapo muda wote anawaza ni kwa namna gani ataweza kuweka historia juu ya shughuli yake. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Jozi
Village, jijini Dar, Wolper alisema: “akili haijakaa sawa kabisa, nawaza juu ya ndoa yangu ambayo muda si mrefu itatimia, silali, sili na sipumui vizuri, kila kitu...
10 years ago
Bongo Movies24 May
Baada ya Kutajwa Kama Muigizaji Bora wa Kike Kwenye Tuzo Za TAFA 2015, Irene Paul Ameyasema Haya
Staa mrembo wa Bongo Movies, Irene Paul ameibuka mshindi wa tuzo za Tanzania Film Awards (TAFA) 2015 kwenye kipengele cha muigizaji bora wa kike ‘Best Actress (in Lead Role)’ ambapo alikuwa akichuana na Irene Veda ,Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ , Rose Ndauka na Shamsa Ford.
Irene ameeleza kuwa filamu ya Never Give Up aliyoicheza na staa kutoka Ghana Van Vicker ndioiliyomfanya ashind tuzo hiyo.
“Filamu iliyonifanya niwe msanii bora wa 2015 ni NEVER GIVE UP niliyoitwa na mzee kambi na...
11 years ago
GPL
IRENE PAUL: TUMEBUMA KIMATAIFA
11 years ago
GPL
IRENE PAUL ATESWA NA BIFU LA KUAMBIANA
10 years ago
Bongo Movies07 Jun
Irene Paul Kuja na Filamu ya Shukrani
Mshindi wa tuzo ya muigizaji bora wa kike 2015, Irene Paul ameandaa filamu kama zawadi kwa mashabiki wa filamu kwa kutambua kazi anazozifanya na kumpigia kura nyingi zilizompa ushindi.
Akizungumza na Gazeti la Nipashe Irene alisema ana washukuru Watanzania kwa kumpokea tangu alipoingia katika uigizaji lakini pia ameamua kutenfgeneza filamu ambayo bado hajaipa jina ikiwa ni kwaajili ya kurudisha hisani kwa wanaomkubali.
Irene ambaye alishinda tuzo hiyo ya muigizaji bora wa kike kupitia...
10 years ago
GPL
IRENE PAUL, DAVINA NUSU WACHAPANE!
10 years ago
Bongo Movies21 Sep
Irene Paul Awavaa Mastaa Wanaogombana!
Mshangao! Staa wa sinema za Kibongo, Irene Paul amewavaa baadhi ya mastaa wenzake wanaolumbana na kutenganishwa na siasa bila kujua kuna maisha baada ya uchaguzi wa Oktoba 25.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Irene alisema kuwa haoni kama ni vyema wasanii kugawanyika na kutengana kimakundi kwa sababu ya siasa ambalo ni jambo la mpito ambapo baadaye kila mtu atarudi kwenye maisha yake ya kila siku.
“Nawaomba wasanii wasijisahau kabisa kuwa maisha yao ya kila siku yatarudi hivyo wajiepushe na...
10 years ago
GPLIRENE PAUL AWAVAA MASTAA WANAOGOMBANA!
10 years ago
Bongo Movies28 May
Nimeshatoa mimba nyingi sana-Irene Paul
Muigizaji wa filamu za kibongo ambaye wiki iliyopita ameshinda tuzo ya muingizaji bora wa kike katika tuzo za Filamu nchini Tanzania (TAFA) Irene Paul amefunguka na kusema kuwa ameshatoa mimba nyingi sana, Irene Paul alisema hayo alipokuwa akichat Live katika kipengele cha KIKAANGONI kinachofanyika katika ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano kuanzia saa nane mchana mpaka kumi Alasiri.
Irene Paul alisema kuwa mara nyingi amekuwa akitoa mimba hizo katika filamu kutokana na kuuvaa...