Jokate Aibuka Muigizaji Bira wa Kike Kwenye Tuzo za ZIFF
“Shukrani Sana Zanzibar International Film Festival Kwa Kuona Moja Ya Vipaji Vyangu Kwa Kunipa Tuzo Ya Muigizaji Bora Wa Kike In Swahili Film. Asante Sana Sana Pia @jb_jerusalemfilms Kwa Fursa Ya Kufanya Kazi Nawewe Na Kwa Kutambua Kipaji Changu. Thank You ZIFF for this Honor. God Bless.”
Ameaandika jokate kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram.
Washindi wengine wa tuzo hizo zilizotolewa usiku wa jana, katika upande wa Bongo Movies ni kama ifuatavyo.
1. People’s Choice Award –...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies24 May
Baada ya Kutajwa Kama Muigizaji Bora wa Kike Kwenye Tuzo Za TAFA 2015, Irene Paul Ameyasema Haya
Staa mrembo wa Bongo Movies, Irene Paul ameibuka mshindi wa tuzo za Tanzania Film Awards (TAFA) 2015 kwenye kipengele cha muigizaji bora wa kike ‘Best Actress (in Lead Role)’ ambapo alikuwa akichuana na Irene Veda ,Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ , Rose Ndauka na Shamsa Ford.
Irene ameeleza kuwa filamu ya Never Give Up aliyoicheza na staa kutoka Ghana Van Vicker ndioiliyomfanya ashind tuzo hiyo.
“Filamu iliyonifanya niwe msanii bora wa 2015 ni NEVER GIVE UP niliyoitwa na mzee kambi na...
11 years ago
Michuzi03 Mar
Lupita Nyong'o kutoka kenya ashinda tuzo ya oscar ya muigizaji msaidizi bora wa kike
10 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz
Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oNtuEWj8hA8bbfZcz13vvl*76YmSGb6CMWpx-9ulYLt1HUWKrqbvCbEWDmCqKEX*J8DHkMOaa2qGELFxbBnWspU/jokate.jpg)
JOKATE AIBUKA NA UBUNIFU MPYA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx*Z0iDsH*EVMrorcBnLIZzFF1VnNB3PF0GydrOY98zFvgUc*w*Qs7aEC8C1itrpAekk-es7ossqalCxCM4AlhxI/b.jpg)
TUZO ZA ZIFF: FILAMU YA SHAHADA NA SHIKAMOO MZEE ZAIBUKA NA TUZO
10 years ago
GPLWASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015, ALI KIBA AIBUKA NA TUZO TANO, DIAMOND PLATINUMZ MBILI
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Jokate: Wasanii wa kike niungeni mkono
NA VICTORIA PATRICK (TSJ)
MWANAMITINDO, Joketi Mwegelo ‘Kidoti’, amewataka wasanii wenzake hasa wa kike wamtie nguvu kwa kununua bidhaa zake badala ya maneno matupu.
Mrembo huyo ambaye ni Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006, alifafanua kwamba wasanii wengi wa kike wamekuwa wakisifia bidhaa zake kwa maneno lakini hawamuungi mkono kwa kuzinunua.
Jokate ambaye pia ni mwanamuziki na mwigizaji, alisema wasanii hao wakitumia bidhaa zake zitamuongezea kipato na kumtangaza yeye pamoja na taifa kwa...
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Honeymoon aeleza siri ya tuzo zake za ZIFF
JULIET MORI NA LETICIA BWIRE (TUDARCO)
MSHINDI wa tuzo mbili za kimataifa za filamu alizozipata katika Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Honeymoon Mohammed, amesema filamu bora inatokana na uandishi wa muswada (script), mandhari nzuri pamoja na uwezo wa msanii husika.
Tuzo hizo alizopata kutokana na filamu yake ya ‘Daddy’s Wedding’ ni filamu yenye picha bora na mwongozaji bora wa filamu.
Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) jana,...
10 years ago
Habarileo01 Jul
Mwandishi wa HabariLeo aibuka kidedea tuzo za Tanapa
MWANDISHI wa gazeti la HabariLeo mkoani Iringa, Frank Leonard ameshinda tuzo ya umahiri wa uandishi wa habari baada ya kuibuka mshindi wa kwanza (magazeti) katika kuandika habari za utalii wa ndani,tuzo ambayo ilitolewa na Hifadhi za Taifa (TANAPA).