TUZO ZA ZIFF: FILAMU YA SHAHADA NA SHIKAMOO MZEE ZAIBUKA NA TUZO
Mwongozaji na msanii wa filamu anayemiliki Studio ya Five Effect, William J. Mtitu akipokea tuzo kwa niaba ya Issa Mussa 'Cloud'. FILAMU ya msanii Issa Mussa 'Cloud' iitwayo Shahada na ile ya wasanii King Majuto, Jacob Steven 'JB' na Shamsa Ford 'Shikamoo Mzee' zimejishinda tuzo jana katika Tamasha la ZIFF linaloendelea Ngome Kongwe Visiwani Zanzibar! ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 May
JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya ‘Shikamoo Mzee’
MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...
10 years ago
MichuziZIFF YATANGAZA FILAMU ZITAZOSHINDANIA TUZO YA SEMBENE OUSMANE
“Shindano hili limetungwa ili kuboresha ufundi wa kutengeneza filamu fupi zinazobuniwa nna vijana wa Kiafrika”, alisema Fabrizio Colombo, Mkurugenzi Msaidizi wa ZIFF. “Filamu 16 zimo katika...
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Filamu ya Espinho da Rosa “the Thorn of the rose” yatwaa tuzo tatu tamasha la 17 la ZIFF 2014
Malkia wa Filamu ya Espinho da Rosa (the Thorn of the rose) ya Filipe Henriques kutoka Guinea Bissau ADY de Batista akiwasili huku akiongozana na Meneja wake Sholey Maqueta kwenye usiku maalum wa tuzo wakati wa tamasha la 17 la ZIFF 2014 lililomalizika mwishoni mwa juma visiwani Zanzibar kwenye viunga vya Ngome Kongwe.
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
FILAMU ya Espinho da Rosa (the Thorn of the rose) ya Filipe Henriques kutoka Guinea Bissau imeondoka na tuzo tatu katika tamasha la 17 la filamu...
11 years ago
GPLFILAMU YA ESPINHO DA ROSA “THE THORN OF THE ROSE” YATWAA TUZO TATU TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014
10 years ago
Michuzi24 May
Usiku wa Tuzo za Filamu wafana jijini Dar, wengingi wapata tuzo
10 years ago
Dewji Blog24 May
Tuzo za Filamu Tanzania 2015 zafana Dar wasanii kibao wazoa tuzo
10 years ago
MichuziKamati ya Maandalizi ya Tuzo za Filamu Tanzania yashauriwa kutangaza Tasnia ya Filamu kimataifa
10 years ago
VijimamboKAMATI YA MAANDALIZI YA TUZO ZA FILAMU TANZANIA YASAHURIWA KUTANGAZA TASNIA YA FILAMU KIMATAIFA
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Honeymoon aeleza siri ya tuzo zake za ZIFF
JULIET MORI NA LETICIA BWIRE (TUDARCO)
MSHINDI wa tuzo mbili za kimataifa za filamu alizozipata katika Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Honeymoon Mohammed, amesema filamu bora inatokana na uandishi wa muswada (script), mandhari nzuri pamoja na uwezo wa msanii husika.
Tuzo hizo alizopata kutokana na filamu yake ya ‘Daddy’s Wedding’ ni filamu yenye picha bora na mwongozaji bora wa filamu.
Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) jana,...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10