Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandishi wa HabariLeo aibuka kidedea tuzo za Tanapa

Frank Leonard MWANDISHI wa gazeti la HabariLeo mkoani Iringa, Frank Leonard ameshinda tuzo ya umahiri wa uandishi wa habari baada ya kuibuka mshindi wa kwanza (magazeti) katika kuandika habari za utalii wa ndani,tuzo ambayo ilitolewa na Hifadhi za Taifa (TANAPA).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mwandishi HabariLeo apata tuzo ya TANAPA

MWANDISHI wa HabariLeo, Iringa, Frank Leonard ametwaa tuzo ya kuandika vizuri habari za utalii wa ndani. Frank amekuwa mshindi wa pili kwa upande wa magazeti.

 

9 years ago

Michuzi

YUSUPH MANJI AIBUKA KIDEDEA TUZO ZA VIONGOZI WA BIASHARA AFRIKA


MWENYEKITI  wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manji (PICHANI) amenyakua tuzo ya kielelezo cha viongozi wa biashara wa Afrika kwa mwaka 2015.
Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Klabu ya soka ya Yanga, aliwapiku wafanyabiashara wengine wakubwa akiwemo bilionea namba moja Afrika,  Aliko Dangote. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na uongozi Quality Group, ilisema  tuzo hiyo ilimshtua 'bosi' wao kwani hakutarajia na kwamba itasaidia kuvutia wawekezaji pamoja na kuongeza idadi ya...

 

11 years ago

Habarileo

Mamia wamuaga mwandishi wa HabariLeo

VILIO, majonzi na simanzi vilitawala jana katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kibangu, Dar es Salaam wakati mamia ya waombolezaji walipoaga mwili wa mwandishi wa Gazeti la HabariLeo, mkoani Manyara, Fortunatha Wilfred Ringo (29).

 

11 years ago

Habarileo

Mamia wamzika mwandishi wa Habarileo

ALIYEKUWA mwandishi wa gazeti hili mkoani Manyara, Fortunata Ringo (29) ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki alizikwa jana kijijini kwao Mdawi Kata ya Kimochi wilaya ya Moshi Vijijini.

 

11 years ago

Habarileo

Mwandishi habari HabariLeo Manyara kuagwa leo

Marehemu Fortunatha RingoMWANDISHI wa Kujitegemea aliyekuwa akiandikia gazeti la HabariLeo kutokea Manyara Fortunatha Ringo ambaye alifariki dunia juzi anatarajiwa kuagwa leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Ubungo Kibangu.

 

11 years ago

Mwananchi

Liyumba aibuka kidedea Dar

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba kutokana na upelelezi uliofanywa kuwa mbovu na wakili aliyekuwa akiiendesha kesi hiyo kuwa mzembe.

 

10 years ago

BBCSwahili

Lewis Hamilton aibuka kidedea

Lewis Hamilton ameshinda mbio za Abu Dhabi Grand Prix,na kumfanya dreva huyo wa Formula One kuwa mshindi kwa mara ya pili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani