Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandishi HabariLeo apata tuzo ya TANAPA

MWANDISHI wa HabariLeo, Iringa, Frank Leonard ametwaa tuzo ya kuandika vizuri habari za utalii wa ndani. Frank amekuwa mshindi wa pili kwa upande wa magazeti.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwandishi wa HabariLeo aibuka kidedea tuzo za Tanapa

Frank Leonard MWANDISHI wa gazeti la HabariLeo mkoani Iringa, Frank Leonard ameshinda tuzo ya umahiri wa uandishi wa habari baada ya kuibuka mshindi wa kwanza (magazeti) katika kuandika habari za utalii wa ndani,tuzo ambayo ilitolewa na Hifadhi za Taifa (TANAPA).

 

11 years ago

Habarileo

Mamia wamzika mwandishi wa Habarileo

ALIYEKUWA mwandishi wa gazeti hili mkoani Manyara, Fortunata Ringo (29) ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki alizikwa jana kijijini kwao Mdawi Kata ya Kimochi wilaya ya Moshi Vijijini.

 

11 years ago

Habarileo

Mamia wamuaga mwandishi wa HabariLeo

VILIO, majonzi na simanzi vilitawala jana katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kibangu, Dar es Salaam wakati mamia ya waombolezaji walipoaga mwili wa mwandishi wa Gazeti la HabariLeo, mkoani Manyara, Fortunatha Wilfred Ringo (29).

 

11 years ago

Habarileo

Mwandishi habari HabariLeo Manyara kuagwa leo

Marehemu Fortunatha RingoMWANDISHI wa Kujitegemea aliyekuwa akiandikia gazeti la HabariLeo kutokea Manyara Fortunatha Ringo ambaye alifariki dunia juzi anatarajiwa kuagwa leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Ubungo Kibangu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Washindi wa tuzo za TANAPA 2014 wakabidhiwa tuzo Jjjini Mwanza

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) , Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza.  Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla hiyo. Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini. Mkuu wa wa Wilaya ya...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA TUZO ZA TANAPA 2014 WAKABIDHIWA TUZO JIJINI MWANZA

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ,Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza. 
Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini.
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu...

 

9 years ago

Habarileo

Tanapa yajitosa Tuzo za Taswa

MAMLAKA ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) ni miongoni mwa wadhamini wa Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya Rais Jakaya Kikwete zinazotarajiwa kufanyika keshokutwa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani