Tanapa yajitosa Tuzo za Taswa
MAMLAKA ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) ni miongoni mwa wadhamini wa Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya Rais Jakaya Kikwete zinazotarajiwa kufanyika keshokutwa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi18 Dec
10 years ago
MichuziKAMATI YA KUSIMAMIA TUZO ZA TASWA YATOA ORODHA YA WANAMICHEZO WANAOWANIA TUZO HIZO
KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam jana na kupitia majina ya wanamichezo waliopendekezwa kuwania tuzo hizo.
Usiku wa Tuzo utafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao.
Ni imani yetu kwamba zaidi ya wanamichezo 40 watakabidhiwa tuzo zao siku...

MichuziWASHINDI WA TUZO ZA TANAPA 2014 WAKABIDHIWA TUZO JIJINI MWANZA
Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ,Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza.
Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini.
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu...

Dewji Blog30 Jun
Washindi wa tuzo za TANAPA 2014 wakabidhiwa tuzo Jjjini Mwanza
Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) , Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza.
Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini.
Mkuu wa wa Wilaya ya...
11 years ago
Michuzi17 Feb
BENKI YA WANAWAKE TANZANIA YAJITOSA KUPIGA JEKI MAANDALIZI YA TUZO YA MWANAMAKUKA 2014
Meneja Mradi wa Mwanamakuka Bi.Maryam Shamo akizungumzia maandalizi ya tuzo hizo.Mkurugenzi wa benki ya Wanawake Tanzania,Bi Margareth Chacha akizungumzia namna benki yake inavyoweza kuwasaidia Wanawake nchini,ambaye pia ni Mdau mkubwa wa Tuzo za Mwanamakuka
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Taswa yaunda Kamati ya Tuzo
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa), kimeunda Kamati Maalumu ya kusimamia utoaji wa Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania. Kamati hiyo ya watu 12, itakuwa chini ya uenyekiti...
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE APEWA TUZO NA TASWA
Mwenyekiti wa TASWA Bwana Juma Pinto akimpa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kuendeleza michezo nchini wakati wa hafla maalum ilioandaliwa na TASWA katika ukumbi wa Mlimani City jana jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy Maro)
10 years ago
Michuzi25 Sep
TUZO ZA TASWA KUFANYIKA DESEMBA 12 MWAKA HUU
TUZO za Wanamichezo Bora wa Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) zinatarajiwa kufanyika Desemba 12 mwaka huu, huku Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) Group Limited ikijitokeza kuwa mdhamini mshiriki wa tuzo hizo kwa kutoa Sh. Milioni 10. Akizungumza na waandishi wa habari katika mgahawa wa City Sports Lounge, Dar es Salaam katika hafla ya kutangaza udhamini huo jana, Meneja Mkuu wa SSB Limited, Said Muhammad Said alisema wameamua kudhamini tuzo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania