BENKI YA WANAWAKE TANZANIA YAJITOSA KUPIGA JEKI MAANDALIZI YA TUZO YA MWANAMAKUKA 2014
Meneja Mradi wa Mwanamakuka Bi.Maryam Shamo akizungumzia maandalizi ya tuzo hizo.Mkurugenzi wa benki ya Wanawake Tanzania,Bi Margareth Chacha akizungumzia namna benki yake inavyoweza kuwasaidia Wanawake nchini,ambaye pia ni Mdau mkubwa wa Tuzo za Mwanamakuka
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziAIRTEL yakabidhi shilingi million Tano kwa wanawake kwa ajili ya Tuzo ya Mwanamakuka 2014
Afisa uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde (kushoto) akimkabithi mfano wa hundimwenyekiti na Mratibu wa Mradi wa The Unity of Women friends Maryam Shamo wakati wa halfa ya Tuzo za Mwanamakuka 2014 ambapo Airtel Tanzania ni moja kati ya Wadhamini wa tuzo hizo, Bi Leil Mwambungu aliibuka na kutangazwa mshindi wa mwanamakuka 2014. Akishuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Bank ya Wanawake Tanzania Bi Margreth Chacha (wakwanza kulia), Hafla ya mwanamakuka ilifanyika jana katika ukumbi wa Escape 1...
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/--lhFh87OC4Q/UykUfUSfIoI/AAAAAAACc48/5Y9Z2uB_GfA/s1600/New+Picture+%282%29.png)
TUZO YA MWANAMAKUKA AWARDS 2014
Picha ya Kikundi, baadhi ya members wa UWF na washindi wa miaka ya nyuma pamoja na Mshindi mpya wa Mwaka 2014 wakiwa katika picha ya pamoja.
Bi Jane Matinde, Ofisa wa maosiano wa Airtel, akikabidhi hundi ya udhamini ya million tano, kwa mwenyekiti wa UWF, Unity Of Women Friends…
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Airtel yadhamini Tuzo ya Mwanamakuka 2014
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imetangaza kudhamini tuzo za Mwanamakuka zenye lengo la kusaidia wanawake kutoka katika maeneo mbalimbali kujiinua kiuchumi. Tuzo hizo zinaandaliwa na The Unity of...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--BgOUAPyML4/UykU8QrcZzI/AAAAAAACc5E/pZAzpsrKNZw/s72-c/New+Picture+(10).png)
PICHA ZA TUKIO LA TUZO YA MWANAMAKUKA AWARDS 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/--BgOUAPyML4/UykU8QrcZzI/AAAAAAACc5E/pZAzpsrKNZw/s1600/New+Picture+(10).png)
Bi Jane Matinde, Ofisa wa maosiano wa Airtel, akikabidhi hundi ya udhamini ya million tano, kwa mwenyekiti wa UWF, Unity Of Women Friends Bi.Mariam Shamo,mwishoni Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa benki ya Wanawake,Bi Magreth Chacha.Hafla hiyo iliofana kwa kiasi kikubwa ilifanyika kwenye kiota cha maraha cha Escape One,Mikocheni jijini Dar mwishoni mwa wiki.
![](http://2.bp.blogspot.com/-XKcO7FuvqPQ/UykS2U5br_I/AAAAAAACc4c/Ld8VW6Yt1d0/s1600/New+Picture+(5).png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-toLwYceeN9w/UykTG3pxDJI/AAAAAAACc4k/e1KI9j7Yvhk/s1600/New+Picture+(6).png)
11 years ago
Dewji Blog12 Apr
CRDB yaipiga jeki ubalozi wa Tanzania Marekani kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Muungano
11 years ago
GPLCRDB YAIPIGA JEKI UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA SHEREHE YA MUUNGANO
 Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Bwn. Saugata Bandyopadhyay CRDB Deputy Managing Director (operations and customer services)  Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Bwn. Alex Ngusaru Director of Treasery wa CRDB…
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7RfT1AGZbDA/U7hIHiXYcCI/AAAAAAAFvME/nkX-2A_r1RI/s72-c/unnamed+(34).jpg)
HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-7RfT1AGZbDA/U7hIHiXYcCI/AAAAAAAFvME/nkX-2A_r1RI/s1600/unnamed+(34).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-yEWLwM7Uvms/U7hIH3tcGvI/AAAAAAAFvMM/3BLMF3LH8Yg/s1600/unnamed+(35).jpg)
11 years ago
GPLHOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA
Daktari wa kitengo maalum cha wakina mama katika hospitali ya Mount Meru ya jijini Arusha,Mathew Kasumuni(Kushoto) akipokea msaada wa kitanda na vifaa tiba mbalimbali kutoka kwa Meneja benki ya KCB Tanzania tawi la arusha Judith Lubuva kwa ajili ya akina mama wenye matatizo ya uzazi wanaotibiwa katika hospitali hiyo.Benki hiyo pia ilitoa msaada wa kitanda kwaajili ya kinamama wakati wa kujifungulia chenye thamani ya zaidi...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania