PICHA ZA TUKIO LA TUZO YA MWANAMAKUKA AWARDS 2014
Bi Jane Matinde, Ofisa wa maosiano wa Airtel, akikabidhi hundi ya udhamini ya million tano, kwa mwenyekiti wa UWF, Unity Of Women Friends Bi.Mariam Shamo,mwishoni Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa benki ya Wanawake,Bi Magreth Chacha.Hafla hiyo iliofana kwa kiasi kikubwa ilifanyika kwenye kiota cha maraha cha Escape One,Mikocheni jijini Dar mwishoni mwa wiki.
Mshindi wa Awards 2014,Bi Leila Mwambungu akiangua kilio baada ya kutangazwa mshindi wa Tuzo ya Mwanamakuka.
Maryam Shamo, Mwenyekiti wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTUZO YA MWANAMAKUKA AWARDS 2014
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Airtel yadhamini Tuzo ya Mwanamakuka 2014
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imetangaza kudhamini tuzo za Mwanamakuka zenye lengo la kusaidia wanawake kutoka katika maeneo mbalimbali kujiinua kiuchumi. Tuzo hizo zinaandaliwa na The Unity of...
11 years ago
Michuzi17 Feb
BENKI YA WANAWAKE TANZANIA YAJITOSA KUPIGA JEKI MAANDALIZI YA TUZO YA MWANAMAKUKA 2014
11 years ago
MichuziAIRTEL yakabidhi shilingi million Tano kwa wanawake kwa ajili ya Tuzo ya Mwanamakuka 2014
Afisa uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde (kushoto) akimkabithi mfano wa hundimwenyekiti na Mratibu wa Mradi wa The Unity of Women friends Maryam Shamo wakati wa halfa ya Tuzo za Mwanamakuka 2014 ambapo Airtel Tanzania ni moja kati ya Wadhamini wa tuzo hizo, Bi Leil Mwambungu aliibuka na kutangazwa mshindi wa mwanamakuka 2014. Akishuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Bank ya Wanawake Tanzania Bi Margreth Chacha (wakwanza kulia), Hafla ya mwanamakuka ilifanyika jana katika ukumbi wa Escape 1...
10 years ago
Bongo515 Oct
Picha: World Travel Awards 2014: Hizi ni hoteli za Tanzania zilizoshinda
10 years ago
Bongo515 Dec
Sarkodie wa Ghana achukua tuzo ya Headies Awards 2014 ambayo Diamond alikuwa akishindania
10 years ago
Bongo514 Oct
Davido awa msanii pekee wa Afrika anayewania tuzo za ‘Soul Train Awards 2014’ Marekani
10 years ago
Bongo Movies26 Nov
PICHA: Uzinduzi Wa Tanzania Film Awards 2014/2015 ulivyokuwa New Africa Hotel - Dar
Mkurugenzi wa Bodi ya FIlamu Nchini Mama Fisoo akiongea wakati wa Uzinduzi wa Tuzo za Filamu nchini
Novemba 24, 2014; Zile tuzo zilizosubiriwa kwa muda mrefu na watanzania sasa zimezinduliwa rasmi jijini Dara es Salaam. Zimezinduliwa rasmi kwa shamra shamra za aina yake mwishoni mwa wiki na Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Habari, vijana, utamaduni na michezo Prof. Elisante Ole...
11 years ago
MichuziMSHINDI WA TUZO YA MWANAMAKUKA AKATIWA BIMA YA KULINDA BIASHARA YAKE.