Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sarkodie wa Ghana achukua tuzo ya Headies Awards 2014 ambayo Diamond alikuwa akishindania

Jumapili Dec.14 nchini Nigeria zimetolewa tuzo za Headies Awards 2014 ambazo msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz alikuwa akishindania, lakini safari hii haikuwa bahati yetu kwasababu hakufanikiwa kushinda. Sarkodie wa Ghana ndiye aliyeshinda kipengele cha BEST AFRICAN ARTISTE ambacho Diamond alikuwa akishindania. Wasanii wengine waliokuwa wakiwania kipengele hicho ni Mafikizolo (South Africa) pamoja na R2Bees (Ghana). […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Diamond tena, kwenye tuzo za Headies 2015 za Nigeria

Baada ya kutangazwa kuwania tuzo mbili za ‘The African Entertainment Legends Awards’ za Nigeria (ingia hapa), Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine tena za Headies za Naija pia. Diamond ameingia kwenye kipengele kimoja cha msanii wa Afrika (wa nje ya Nigeria). Wasanii wengine ambao wanachuana naye kwenye kipengele hicho ni Cassper Nyovest (Afrika Kusini), Uhuru […]

 

10 years ago

Bongo5

Mambo mawili ambayo Cassper Nyovest na Diamond walifanana siku ya tuzo za Channel O

Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest na Diamond Platnumz ndio walioibuka na ushindi mkubwa kwenye tuzo za Channel O zilizofanyika Jumamosi nchini Afrika Kusini. Wote waliondoka na tuzo tatu. Lakini hilo ni jambo moja tu ambalo wasanii hao walifanana siku hiyo. La pili, wote walitumia tuzo hizo kuwatambulisha wapenzi wao wapya ambao kabla ya hapo […]

 

11 years ago

GPL

TUZO YA MWANAMAKUKA AWARDS 2014


Picha ya Kikundi, baadhi ya members wa UWF na  washindi wa miaka ya nyuma pamoja na Mshindi mpya wa Mwaka 2014 wakiwa katika picha ya pamoja.
Bi Jane Matinde, Ofisa wa maosiano wa Airtel, akikabidhi hundi ya udhamini ya million tano, kwa mwenyekiti wa UWF, Unity Of Women Friends…

 

10 years ago

Bongo5

Diamond atajwa kuwania kipengele cha ‘African Artiste of The Year’ kwenye Ghana Music Awards

Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za 16 za Vodafone Ghana Music (Awards), VGMA 2015. Majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo yametajwa kwenye hoteli ya La Palm Royal Beach Hotel jijini Accra, jana Ijumaa, February 27. Diamond ametajwa kuwania kipengele cha msanii bora wa Afrika (African Artiste of The Year). Wasanii wengine watakaowania kipengele hicho ni […]

 

11 years ago

Michuzi

PICHA ZA TUKIO LA TUZO YA MWANAMAKUKA AWARDS 2014


Bi Jane Matinde, Ofisa wa maosiano wa Airtel, akikabidhi hundi ya udhamini ya million tano, kwa mwenyekiti wa UWF, Unity Of Women Friends Bi.Mariam Shamo,mwishoni Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa benki ya Wanawake,Bi Magreth Chacha.Hafla hiyo iliofana kwa kiasi kikubwa ilifanyika kwenye kiota cha maraha cha Escape One,Mikocheni jijini Dar mwishoni mwa wiki. Mshindi wa Awards 2014,Bi Leila Mwambungu akiangua kilio baada ya kutangazwa mshindi wa Tuzo ya Mwanamakuka. Maryam Shamo, Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND ATWAA TUZO TATU ZA CHANNEL O MUSIC AWARDS

Mpenzi wa sasa wa Diamond,Zari akiwa amebeba tuzo.Mama Diamond,Diamond na Zari wakipita kwenye red carpet.Madam Rita na Salam Jabir wakimsapoti Diamond.Diamond akiwa na mameneja wake Babu Tale na Mkubwa Fela.

Most Gifted R&B video Crazy but Amazing-Donald
Most Gifted West Video
‘Turn Up-Olamide
Most Gifted Ragga/Dancehall
Buffalo Soulja
The Most Gifted Kwaito
Uhuru ft Oskido & Professor Kalawa -tjukutja
Most Gifted East Video
Diamond Platnumz
Most Gifted Dance Video
Busiswa-Ngoku
Most Gifted...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond ashinda tuzo nyingine Nigeria ‘The Future Awards Africa’

Diamond Platnumz ameongeza idadi ya tuzo za kimataifa alizopata mwaka huu 2014 baada ya kushinda tuzo nyingine ya ‘The Future Awards Africa’ (TFAA) zilizotolewa huko Lagos, Nigeria Dec.7 Kupitia Instagram mwimbaji huyo wa single mpya ‘Ntampata wapi’ ameshare picha ya tuzo na kuandika: “Thanks God, we have Cheated another one on The Future Awards Africa […]

 

9 years ago

Bongo5

Diamond ampiga mweleka Wizkid kwenye tuzo za ‘Uganda Entertainment Awards’

Diamond Platnumz ameibuka mshindi wa kipengele cha ‘Best African Act Of The Year’ Katika tuzo za Uganda Eentertainment Awards 2015 (UEA), zilizotolewa Ijumaa ya Septemba 5 jijini Kampala, Uganda. Platnumz amewashinda mastaa wa Nigeria akiwemo Wizkid, Patoranking pamoja na Tiwa Savage ambao alikuwa akishindana nao kwenye kipengele hicho. Kupitia mitandao ya kijamii Diamond amewashukuru mashabiki […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani