Diamond tena, kwenye tuzo za Headies 2015 za Nigeria
Baada ya kutangazwa kuwania tuzo mbili za ‘The African Entertainment Legends Awards’ za Nigeria (ingia hapa), Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine tena za Headies za Naija pia. Diamond ameingia kwenye kipengele kimoja cha msanii wa Afrika (wa nje ya Nigeria). Wasanii wengine ambao wanachuana naye kwenye kipengele hicho ni Cassper Nyovest (Afrika Kusini), Uhuru […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo502 Jan
Hawa ndio washindi wa tuzo za ‘The Headies 2015’ za Nigeria zilizotolewa Jan 1, 2016
![Headies-2015](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Headies-2015-300x194.jpg)
Tuzo za The Headies za nchini Nigeria zilizokuwa zitolewe December 30, 2015 zilisogezwa na kutolewa January 1, 2016 jijini Lagos.
Katika tuzo hizo kulikuwa na kipengele kimoja kwaajili ya wasanii wa nje ya Nigeria, ‘African Artist’ ambapo Diamond Platnumz alikuwa akiwania na Cassper Nyovest, AKA na Uhuru wa Afrika Kusini, pamoja na Sarkodie wa Ghana. Hata hivyo matokeo ya kipengele hicho hayajawekwa.
Ifuatayo ni orodha ya washindi wa tuzo hizo zilizofanyika kwa mara ya kumi:
Headies...
10 years ago
Bongo515 Dec
Sarkodie wa Ghana achukua tuzo ya Headies Awards 2014 ambayo Diamond alikuwa akishindania
10 years ago
Bongo528 Dec
Diamond na Vanessa Mdee waing’arisha tena Tanzania kwa kushinda tuzo za Afrima Nigeria
9 years ago
Bongo516 Nov
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee washinda tuzo 4 za AFRIMA 2015 Nigeria
![d n v](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/d-n-v-300x194.jpg)
Tuzo za All Afrika Music Awards 2015 (AFRIMA) zimetolewa usiku wa Jumapili November 15 jijini Lagos, Nigeria ambapo Tanzania imetoa washindi wawili.
Diamond Platnumz aliyekuwa akiwania tuzo hizo ameibuka mshindi wa vipengele 3 kikiwemo kipengele muhimu cha Msanii Bora Wa Mwaka (Artist Of The Year) ambayo ilikuwa ikiwaniwa na Alikiba, Davido, Jose Chameleone, Wizkid, Yemi Alade, Sarkodie na Flavour.
Vipengele vingine alivyoshinda Diamond ni Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki (Best...
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016..
2016 mwaka mwingine unaoanza vizuri kwa muziki wa Bongofleva wenye mizizi yake Tanzania ambapo usiku wa January 01 2016 zimetolewa Tuzo za HEADIES Awards ndani ya Lagos Nigeria. List kamili ya washindi imetoka ambapo kati yao staa wa muziki anayewakilisha Bongo 255, Diamond Platnumznae yumo… Tuzo hizi zinawahusu mastaa wa Nigeria lakini kuna category moja […]
The post Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016.. appeared first on...
10 years ago
Vijimambo07 Jan
DIAMOND NDANI YA LAGOS NCHINI NIGERIA, AKAGUA JUKWAA ATAKALOPAFOMU KESHO KWENYE TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA
![](http://api.ning.com/files/9nG191KtIdgRKtgNGUal5F5WF4SdbLY*BeOLx3u*qe3AutEKH3QpA6hQYIMYhhnwcPYrFnFVtFzW7PpxvbYUs8NH4*mxAed3/platnumz.jpg?width=650)
9 years ago
Dewji Blog11 Oct
Diamond Platnumz anyakua ‘3’ tuzo za AFRIMMA 2015, awaacha kwenye mataa Ali Kiba, Davido!
Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnum ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.
(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say …dha! hata sijui nizungumze nini…
(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika...
9 years ago
Bongo507 Sep
Eddie Kenzo ashinda ‘African Artist of The Year’ aliyokuwa akiwania na Diamond katika tuzo za ‘Nigeria Entertainment Awards’ 2015 (NEA)