Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016..

2016 mwaka mwingine unaoanza vizuri kwa muziki wa Bongofleva wenye mizizi yake Tanzania ambapo usiku wa January 01 2016 zimetolewa Tuzo za HEADIES Awards ndani ya Lagos Nigeria. List kamili ya washindi imetoka ambapo kati yao staa wa muziki anayewakilisha Bongo 255, Diamond Platnumznae yumo… Tuzo hizi zinawahusu mastaa wa Nigeria lakini kuna category moja […]

The post Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016.. appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Diamond Platnumz alamba tuzo nyingine huko Nigeria

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana usiku aliweza kunyakua tuzo nyingine kutoka The Future Awards Africa 2014 huko jijini Lagos,Nigeria. Amelamba tuzo ya The Future Awards Africa Prize in Entertainment.

 

10 years ago

Vijimambo

VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ ATWAA TUZO NYINGINE YA AFRIKA

Wiki moja tu baada ya kushinda tuzo ya mtumbuizaji bora wa Afrika kwenye MTV MAMA, Diamond Platnumz ameshinda tuzo nyingine kubwa ya Afrika.Usiku wa jana, Diamond alishinda tuzo ya Msanii wa Afrika wa Mwaka kwenye hafla ya tuzo za African Achievers Awards 2015 zilizofanyika Afrika Kusini.10844180_822164274545595_1778078662_n“Thanks God for keep Blessing my Hustle….AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR #AfricanAchieversAwards2015 (Shukran Nyingi ziwafikie Uongozi wangu kwa kuhakikisha unanisimamia ipaswavyo, Mama yangu kipenzi Sandrah, My...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond Platnumz ashinda tuzo nyingine nchini Burundi

Mwaka 2014 Diamond Platnumz amefanikiwa kuifungua vizuri milango ya kimataifa ambayo matunda tayari yameanza kuonekana. Tumeshuhudia akiwa nominated katika tuzo mbalimbali za kimataifa, na baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA hivi karibuni Platnumz ameshinda tuzo nyingine nchini Burundi kupitia hit yake ya ‘Number 1’. Platnumz amewashukuru mashabiki, wadau na vyombo vya habari kwa kumuwezesha kushinda […]

 

9 years ago

Bongo5

Hawa ndio washindi wa tuzo za ‘The Headies 2015’ za Nigeria zilizotolewa Jan 1, 2016

Headies-2015

Tuzo za The Headies za nchini Nigeria zilizokuwa zitolewe December 30, 2015 zilisogezwa na kutolewa January 1, 2016 jijini Lagos.

Headies-2015

Katika tuzo hizo kulikuwa na kipengele kimoja kwaajili ya wasanii wa nje ya Nigeria, ‘African Artist’ ambapo Diamond Platnumz alikuwa akiwania na Cassper Nyovest, AKA na Uhuru wa Afrika Kusini, pamoja na Sarkodie wa Ghana. Hata hivyo matokeo ya kipengele hicho hayajawekwa.

Ifuatayo ni orodha ya washindi wa tuzo hizo zilizofanyika kwa mara ya kumi:

Headies...

 

9 years ago

Michuzi

Diamond Platnumz atwaa Tuzo nyingine toka Italy MTV EMA 2015

Katikati ya mwezi September 2015 tuliipata good news kwenye kiwanda cha Muziki Tanzania, East Africa na Africa kwa ujumla ambapo list ya wakali wa muziki wanaowania Tuzo za MTV EMA 2015 ilitangazwa, kilichoongeza furaha ilikuwa kushuhudia majina ya mastaa kama AKA toka South Africa, Yemi Alade na Davido toka Nigeria na pia mkali toka Bongo +255, Diamond Platnumz nae alikuwemo pia kwenye list hiyo.Good news nyingine ni kwamba Diamond Platnumz amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani