Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond Platnumz ashinda tuzo nyingine nchini Burundi

Mwaka 2014 Diamond Platnumz amefanikiwa kuifungua vizuri milango ya kimataifa ambayo matunda tayari yameanza kuonekana. Tumeshuhudia akiwa nominated katika tuzo mbalimbali za kimataifa, na baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA hivi karibuni Platnumz ameshinda tuzo nyingine nchini Burundi kupitia hit yake ya ‘Number 1’. Platnumz amewashukuru mashabiki, wadau na vyombo vya habari kwa kumuwezesha kushinda […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Diamond ashinda tuzo nyingine Nigeria ‘The Future Awards Africa’

Diamond Platnumz ameongeza idadi ya tuzo za kimataifa alizopata mwaka huu 2014 baada ya kushinda tuzo nyingine ya ‘The Future Awards Africa’ (TFAA) zilizotolewa huko Lagos, Nigeria Dec.7 Kupitia Instagram mwimbaji huyo wa single mpya ‘Ntampata wapi’ ameshare picha ya tuzo na kuandika: “Thanks God, we have Cheated another one on The Future Awards Africa […]

 

10 years ago

Michuzi

Diamond Platnumz alamba tuzo nyingine huko Nigeria

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana usiku aliweza kunyakua tuzo nyingine kutoka The Future Awards Africa 2014 huko jijini Lagos,Nigeria. Amelamba tuzo ya The Future Awards Africa Prize in Entertainment.

 

10 years ago

Vijimambo

VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ ATWAA TUZO NYINGINE YA AFRIKA

Wiki moja tu baada ya kushinda tuzo ya mtumbuizaji bora wa Afrika kwenye MTV MAMA, Diamond Platnumz ameshinda tuzo nyingine kubwa ya Afrika.Usiku wa jana, Diamond alishinda tuzo ya Msanii wa Afrika wa Mwaka kwenye hafla ya tuzo za African Achievers Awards 2015 zilizofanyika Afrika Kusini.10844180_822164274545595_1778078662_n“Thanks God for keep Blessing my Hustle….AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR #AfricanAchieversAwards2015 (Shukran Nyingi ziwafikie Uongozi wangu kwa kuhakikisha unanisimamia ipaswavyo, Mama yangu kipenzi Sandrah, My...

 

9 years ago

Michuzi

Diamond Platnumz atwaa Tuzo nyingine toka Italy MTV EMA 2015

Katikati ya mwezi September 2015 tuliipata good news kwenye kiwanda cha Muziki Tanzania, East Africa na Africa kwa ujumla ambapo list ya wakali wa muziki wanaowania Tuzo za MTV EMA 2015 ilitangazwa, kilichoongeza furaha ilikuwa kushuhudia majina ya mastaa kama AKA toka South Africa, Yemi Alade na Davido toka Nigeria na pia mkali toka Bongo +255, Diamond Platnumz nae alikuwemo pia kwenye list hiyo.Good news nyingine ni kwamba Diamond Platnumz amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo moja...

 

9 years ago

MillardAyo

Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016..

2016 mwaka mwingine unaoanza vizuri kwa muziki wa Bongofleva wenye mizizi yake Tanzania ambapo usiku wa January 01 2016 zimetolewa Tuzo za HEADIES Awards ndani ya Lagos Nigeria. List kamili ya washindi imetoka ambapo kati yao staa wa muziki anayewakilisha Bongo 255, Diamond Platnumznae yumo… Tuzo hizi zinawahusu mastaa wa Nigeria lakini kuna category moja […]

The post Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016.. appeared first on...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND ANYAKUA TUZO NYINGINE NCHINI NIGERIA

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014.
Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond aliandika ujumbe huu: "Thanks God, we have cheated another one on the...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani