Mamia wamuaga mwandishi wa HabariLeo
VILIO, majonzi na simanzi vilitawala jana katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kibangu, Dar es Salaam wakati mamia ya waombolezaji walipoaga mwili wa mwandishi wa Gazeti la HabariLeo, mkoani Manyara, Fortunatha Wilfred Ringo (29).
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Jan
Mamia wamzika mwandishi wa Habarileo
ALIYEKUWA mwandishi wa gazeti hili mkoani Manyara, Fortunata Ringo (29) ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki alizikwa jana kijijini kwao Mdawi Kata ya Kimochi wilaya ya Moshi Vijijini.
10 years ago
MichuziMAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA HABARI WA NEW HABARI 2006 LTD, MAREHEMU INOCENT MUNYUKU
11 years ago
Habarileo29 May
Mwandishi HabariLeo apata tuzo ya TANAPA
MWANDISHI wa HabariLeo, Iringa, Frank Leonard ametwaa tuzo ya kuandika vizuri habari za utalii wa ndani. Frank amekuwa mshindi wa pili kwa upande wa magazeti.
11 years ago
Habarileo12 Jan
Mwandishi habari HabariLeo Manyara kuagwa leo
MWANDISHI wa Kujitegemea aliyekuwa akiandikia gazeti la HabariLeo kutokea Manyara Fortunatha Ringo ambaye alifariki dunia juzi anatarajiwa kuagwa leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Ubungo Kibangu.
10 years ago
Habarileo01 Jul
Mwandishi wa HabariLeo aibuka kidedea tuzo za Tanapa
MWANDISHI wa gazeti la HabariLeo mkoani Iringa, Frank Leonard ameshinda tuzo ya umahiri wa uandishi wa habari baada ya kuibuka mshindi wa kwanza (magazeti) katika kuandika habari za utalii wa ndani,tuzo ambayo ilitolewa na Hifadhi za Taifa (TANAPA).
11 years ago
Mwananchi17 Jan
JK, mamia wamuaga Jaji Liundi
10 years ago
GPLMAMIA YA WATU WAMUAGA KOMBA SONGEA
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Mamia wamuaga Balozi Kazaura Dar es Salaam
11 years ago
GPLMAMIA WAMUAGA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA VIWANJA VYA LEADERS