Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMIA YA WATU WAMUAGA KOMBA SONGEA

Mwili wa marehemu kapt.John Komba, wakati ukishushwa kwenye ndege katika uwanja wa ndege wa Songea mkoani Ruvuma tayari kwa kusafirishwa kijijini kwake Lituhi Wilayani Mbinga kwa mazishi. Mwili wa marehemu kapt.John komba, ukiwasili katika uwanja wa michezo wa majimaji mjini Songea tayari kwa ajili ya kuagwa na Wananchi mbalimbali mjini humo. MAMIA ya wananchi wa Manispaa ya Songea… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mamia wamuaga mwandishi wa HabariLeo

VILIO, majonzi na simanzi vilitawala jana katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kibangu, Dar es Salaam wakati mamia ya waombolezaji walipoaga mwili wa mwandishi wa Gazeti la HabariLeo, mkoani Manyara, Fortunatha Wilfred Ringo (29).

 

11 years ago

Mwananchi

JK, mamia wamuaga Jaji Liundi

 Rais Jakaya Kikwete, ameongoza viongozi wa Serikali na mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa msajili wa kwanza wa vyama vya siasa nchini, Jaji George Liundi, katika Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Mamia wamuaga Balozi Kazaura Dar es Salaam

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa alikuwa miongoni mwa maelfu ya waombolezaji waliofika katika ibada ya kuaga mwili wa Balozi, Fulgence Kazaura aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki akiwa katika matibabu nchini India.

 

11 years ago

GPL

MAMIA WAMUAGA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA VIWANJA VYA LEADERS

Jeneza lenye mwili wa marehemu Adam Kuambiana likiwa mbele ya waombolezaji. Shilole (kulia) akiwa na baadhi ya waombolezaji.…

 

9 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE NA NDUGU ZAKE NYUMBANI KWAKE KIJICHI JIJINI DAR ES SALAAM

 Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe enzi za Uhai wake. Msaidizi wa Mbunge huyo, Casablanga Haule enzi za Uhai wake. Padri Plasdus Ngabuma enzi za Uhai wake. Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deogratias Filikunjombe wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika nyumbani kwake Kijichi Dar es Salaam leo mchana. Majeneza yenye miili ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deogratias Filikunjombe na ndugu zake, Plasdus Ngabuma na Casablanga Haule yakiwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lucy Komba: Namimi Nakuja Kugombea Ubunge Songea

Staa wa Bongo Movies, Lucy Komba ambaye kwa sasa anaishi ughaibuni ameonesha nia yake ya kurudi ya kuja kuwania ubunge. Lucy ameyaseme hayo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram ambapo alianza kwa kuwapongeza wasanii wenzake wote walioamua kujikita kwenye siasa.

“Msiseme wanawake tu semeni pia na wasanii tunaweza, hongereni wote wasanii mlioamua kujikita kwenye siasa na mimi nakuja huko kuchukua ubunge wa kwetu Songea”- Lucy ameandika.

Kila la kheri Lucy.

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA HABARI WA NEW HABARI 2006 LTD, MAREHEMU INOCENT MUNYUKU

Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Matinyi akisoma...

 

10 years ago

Michuzi

mwili wa hayati kepteni John Damiano Komba wawasili Songea

Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM marehemu John Damiano Kumba ukipokelewa katika uwanja wa ndege wa Songe na umati mkubwa wa waombolezaji wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mhe.Mwambungu,Mhe.John Nchimbi,Mbunge wa Songea Mjini,na Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais(Kazi Maalum)Mark Mwandosya,kulia. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kijijini kwake Lituhi, Wilaya ya Nyasa, Kesho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani