Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mwili wa hayati kepteni John Damiano Komba wawasili Songea

Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM marehemu John Damiano Kumba ukipokelewa katika uwanja wa ndege wa Songe na umati mkubwa wa waombolezaji wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mhe.Mwambungu,Mhe.John Nchimbi,Mbunge wa Songea Mjini,na Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais(Kazi Maalum)Mark Mwandosya,kulia. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kijijini kwake Lituhi, Wilaya ya Nyasa, Kesho.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya kuaga rasmi mwili wa marehemu Capt. John Damiano Komba leo

Capt John Damian Komba2

Marehemu Capt. John Damiano Komba enzi za uhai wake.

257298487-Ratiba-Ya-Kuaga-Rasmi-Mwili-Wa-Marehemu-Capt-John-Damiano-Komba-Mb-Siku-Ya-Jumatatu-Tarehe-2-Mach… by moblog

 

10 years ago

Michuzi

RATIBA YA KUAGA RASMI MWILI WA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA, (MB.) KESHO JUMATATU TAREHE 2 MACHI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA UTARATIBU WA SAFARI



NA.

MUDA

TUKIO

MHUSIKA


1.

12:00 - 01:00


Familia na Waombolezaji kupata chai nyumbani


Kaimu Katibu wa Bunge

2.

01:00 - 04:00

Misa ya kuaga mwili wa Marehemu


Kanisa Katoliki,

Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa


3.

04:00 - 04:30

·         Ndugu, Jamaa na Wananchi kuwasili katika Viwanja vya Karimjee


·         Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika nafasi zao


Katibu wa Bunge


4.

04:33

Kiongozi ...

 

9 years ago

Mtanzania

Shiwata kuziba nafasi ya Kepteni John Komba

kOMBAMTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) unatarajia kutaja majina ya wanachama wake watakaokabidhiwa nyumba 13 katika Kijiji cha Mwanzega, Mkuranga.

Mwenyekiti wa mtandao huo, Cassim Twaalib, alisema mkutano huo utafanyika katika ofisi zake zilizopo Ilala, Bungoni Dar es Salaam kuanzia saa nne asubuhi.

Twaalib aliongeza kwamba pia watatangazwa viongozi watakaoshika nafasi za uongozi zilizo wazi ambazo ni Makamu Mwenyekiti iliyokuwa ikishikiliwa na Marehemu Kepteni Komba, Katibu ambayo ilikuwa...

 

10 years ago

GPL

UNDANI WA KIFO CHA KEPTENI JOHN KOMBA!

Marehemu Kapteni Komba. Picha ya kwanza ya Marehemu komba mara baada ya kufariki dunia.…

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: KEPTENI JOHN KOMBA HATUNAYE TENA

Hayati John Komba enzi za uhai wake
Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Kepteni John Komba amefariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam, mtoto wa Marehemu Bw. Herman Komba amethibitisha. Taarifa kamili za msiba huu zitafuata punde

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AUNGANA NA WATANZANIA WENGINE KUUAGA MWILI WA KEPTENI JOHNE KOMBA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Litui wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji mjane wa marehemu Salome Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)Waziri wa Nchi,Ofisi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU KEPTENI JOHN KOMBA LEO

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu chamaombolezo alipokwenda yeye Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu chamaombolezo walipokwenda yeye na Rais Kikwete kutoa pole na kuifarijifamilia ya Mbunge wa Mbinga...

 

10 years ago

Michuzi

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MHESHIMIWA CAPTAIN JOHN DAMIANO KOMBA (MB) TOKA BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Captain John Damian Komba kilichotokea jioni ya Jumamosi ya tarehe 28/02/2015.

Captain John Damian Komba ni msanii na mdau wa muda mrefu wa sekta ya Sanaa nchini. Amekuwa ni taa na nuru ambayo katika kipindi chote cha uhai wake imeangaza na kutoa mwanga angavu kwenye sekta ya Sanaa.

Mchango wake katika muziki wa dansi, kwaya na ule wa kiweledi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani