Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandishi habari HabariLeo Manyara kuagwa leo

Marehemu Fortunatha RingoMWANDISHI wa Kujitegemea aliyekuwa akiandikia gazeti la HabariLeo kutokea Manyara Fortunatha Ringo ambaye alifariki dunia juzi anatarajiwa kuagwa leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Ubungo Kibangu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mamia wamuaga mwandishi wa HabariLeo

VILIO, majonzi na simanzi vilitawala jana katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kibangu, Dar es Salaam wakati mamia ya waombolezaji walipoaga mwili wa mwandishi wa Gazeti la HabariLeo, mkoani Manyara, Fortunatha Wilfred Ringo (29).

 

11 years ago

Habarileo

Mamia wamzika mwandishi wa Habarileo

ALIYEKUWA mwandishi wa gazeti hili mkoani Manyara, Fortunata Ringo (29) ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki alizikwa jana kijijini kwao Mdawi Kata ya Kimochi wilaya ya Moshi Vijijini.

 

11 years ago

Habarileo

Mwandishi HabariLeo apata tuzo ya TANAPA

MWANDISHI wa HabariLeo, Iringa, Frank Leonard ametwaa tuzo ya kuandika vizuri habari za utalii wa ndani. Frank amekuwa mshindi wa pili kwa upande wa magazeti.

 

10 years ago

Habarileo

Mwandishi wa HabariLeo aibuka kidedea tuzo za Tanapa

Frank Leonard MWANDISHI wa gazeti la HabariLeo mkoani Iringa, Frank Leonard ameshinda tuzo ya umahiri wa uandishi wa habari baada ya kuibuka mshindi wa kwanza (magazeti) katika kuandika habari za utalii wa ndani,tuzo ambayo ilitolewa na Hifadhi za Taifa (TANAPA).

 

10 years ago

Michuzi

WENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO, MAREHEMU BARAKA KARASHANI LEO

 Mwili wa Mwandishi wa Habari marehemu Baraka Karashani ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) Mke wa Marehemu, Baraka Karashani, Gloria na watoto wake Bonny na Belinda wakiweka shada la maua katika kaburi wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es SalaamMzee Phili Karashani akitoa neno la shukrani wakati wa mazishi ya mtoti wake Baraka Karashani. Mtoto wa marehemu, Baraka Karashani akiwa ameshika picha ya...

 

10 years ago

Michuzi

MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI NCHINI TBC FLORENCY DYAULI AMEFARIKI DUNIA LEO

MWANDISHI wa habari mwandamizi wa Shirika la Utangazaji nchini TBC FLORENCY DYAULI (Pichani enzi za uhai wake)amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua.
FRORENCE DYAULI amefariki dunia majira ya saa kumi alfajiri akiwa amelazwa katika hospitali ya RABININSIA MEMORIAL jijini  Dar es Salaam, ambako alikuwa akipata matibabu.
Dyauli alizaliwa  tarehe   27 mwezi wa saba mwaka 1961 na amefariki dunia tarehe   18/06/2015.Marehemu DYAULI alisoma shule ya msingi   CHANG’OMBE mwaka 1968 hadi...

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA HABARI WA NEW HABARI 2006 LTD, MAREHEMU INOCENT MUNYUKU

Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Matinyi akisoma...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwandishi wa Habari Zanzibar, Ali Saleh Achukua Fomu leo kugombea Ubunge Mji Mkongwe Zanzibar

Mwandishi mkongwe wa habari Zanzibar, Ali Saleh (Alberto) akiwa na wapambe wake waliomshindikiza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mji Mkongwe katika uchaguzi wa mwaka huu 2015 Mwandishi mkongwe wa habari, Ally Saleh akionesha Fomu yake aliyokabidhiwa leo kwenye Ofisi ya Jimbo MkunaziniAkionesha kadi yake ya uanachama wa CUFHapa akiondoka Afisi za Jimbo baada ya kuchukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Mkunazini katika Uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu kama atapitishwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwandishi wa habari afariki

Dar es Salaam. Mwandishi wa Habari Mtandao wa Mwanahalisi Online, Edson Kamukara amefariki dunia jana jioni baada ya kuungua moto, nyumbani kwake Mabibo, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani