Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandishi wa habari afariki

Dar es Salaam. Mwandishi wa Habari Mtandao wa Mwanahalisi Online, Edson Kamukara amefariki dunia jana jioni baada ya kuungua moto, nyumbani kwake Mabibo, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Tanzia : MWANDISHI WA HABARI ELIYA MBONEA AFARIKI DUNIA

Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd inayochapisha Magazeti ya Mtanzania,Rai, Bingwa na Dimba pamoja na Mtanzania Digital bwana Eliya Mbonea amefariki dunia leo Jumatatu Aprili 6,2020 wakati akiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa Habari mkoa wa Arusha (Arusha Press Club), Claude Gwandu amethibitisha taarifa za kifo cha Eliya Mbonea alipozungumza na Malunde 1 blog mchana huu.

"Chama cha Waandishi...

 

9 years ago

Michuzi

Mwandishi Mkongwe wa Habari za Michezo nchini Willie Chiwango afariki dunia.

Marehemu Willie Chiwango
Taarifa kutoka mtoto wa marehemu, Stephen Chiwango (61), zinasema mauti ya limfika baba yao jana saa 5:30 usiku katika hospitali ya Masana iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam alikokua amelazwa kwa matibabu na alikua akisumbuliwa na matatizo ya kichwa.Alisema kuwa mauti yalimkuta katika hospitalini hapo akifanyiwa vipimo zaidi ili kujua tatizo la mwandishi huyo ambaye chombo chake cha mwisho kukifanyia kazi ni Tanzania Standard Newspapers (TSN) akiwa ni Mhariri...

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA HABARI WA NEW HABARI 2006 LTD, MAREHEMU INOCENT MUNYUKU

Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Matinyi akisoma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwandishi afariki dunia Dar

MWANDISHI wa habari mkongwe, Maurus Sichalwe, amefariki dunia jana nyumbani kwake Mwananyamala Kanisani, Dar es Salaam akiwa na umri wa miaka 83. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa BBC Ann Waithera afariki

Mwandishi wa BBC nchini Kenya Ann Waithera ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 39 baada ya kuugua Saratani kwa muda mrefu.

 

11 years ago

GPL

MWANDISHI ANNE WAITHERA WA BBC AFARIKI DUNIA

Mwandishi Anne Waithera enzi za uhai wake. MWANDISHI wa BBC kutoka nchini Kenya, Anne Waithera amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu akisumbuliwa na maradhi ya saratani. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi!

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa habari auawa Somalia

Mwandishi mmoja wa habari wa kike ameaga dunia baada ya bomu kulipuka chini ya gari lake katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa habari auawa Pakistan

Watu wenye silaha wamemuua kwa kumpiga risasi mwandish maarufu wa habari katika mji wa Karachi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa Habari auawa Syria

Mwandishi habari mwenye asili ya Marekani auawa nchini Syria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani