Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandishi wa BBC Ann Waithera afariki

Mwandishi wa BBC nchini Kenya Ann Waithera ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 39 baada ya kuugua Saratani kwa muda mrefu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWANDISHI ANNE WAITHERA WA BBC AFARIKI DUNIA

Mwandishi Anne Waithera enzi za uhai wake. MWANDISHI wa BBC kutoka nchini Kenya, Anne Waithera amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu akisumbuliwa na maradhi ya saratani. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi!

 

11 years ago

BBCSwahili

Ann Waithera: BBC itakavyomuenzi

''Nakumbuka kufanya naye kazi kabla ya yeye kwenda Addis Ababa, na kufanya mipango ya kila alichotarajiwa kufanya. Matumaini mengi ila yamekatizwa mapema mno.''

 

11 years ago

BBCSwahili

Mazishi ya Ann Waithera, Kenya

Mwili wa aliyekuwa mwandishi wa BBC Ann Waithera umechomwa katika eneo la makaburi ya umma ya Lang'ata mjini Nairobi Kenya

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa BBC amkumbuka Mandela

Nelson Mandela alipostaafu mwaka 2004,Mwandishi wa BBC Richard Hamilton alikuwa ripota mjini Cape Town na hivi ndivyo anamkumbuka Mandela

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Mutharika amlilia mwandishi wa BBC

Rais Peter Mutharika wa Malawi ametuma salam za rambirambi kutokana na kifo cha mwandishi wa BBC Raphael Tenthani

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa BBC Komla Dumor aaga dunia

Mwandishi wa BBC Komla Dumor amefariki ghafla nyumbani kwake kutokana na mshtuko wa moyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwandishi wa habari afariki

Dar es Salaam. Mwandishi wa Habari Mtandao wa Mwanahalisi Online, Edson Kamukara amefariki dunia jana jioni baada ya kuungua moto, nyumbani kwake Mabibo, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwandishi afariki dunia Dar

MWANDISHI wa habari mkongwe, Maurus Sichalwe, amefariki dunia jana nyumbani kwake Mwananyamala Kanisani, Dar es Salaam akiwa na umri wa miaka 83. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ajali ya ndege ya Ethiopia: Mwandishi wa BBC Emmanuel Igunza asimulia alichoshuhudia

Ripoti ya awali iliyotolewa na mamlaka nchini Ethiopia imelaumu waundaji wa ndege ya Boeing 737 Max

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani