JOKATE AIBUKA NA UBUNIFU MPYA
![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oNtuEWj8hA8bbfZcz13vvl*76YmSGb6CMWpx-9ulYLt1HUWKrqbvCbEWDmCqKEX*J8DHkMOaa2qGELFxbBnWspU/jokate.jpg)
Stori: Hamida Hassan MWANAMITINDO Jokate Mwegelo ameibuka na ubunifu mpya wa sabuni ya kuogea inayokwenda kwa jina la Mo hiyo ikiwa ni baada ya kutesa na bidhaa ya ndala. Mwanamitindo Jokate Mwegelo. Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko, Jokate alisema uzinduzi wa sabuni hiyo unatarajiwa kufanyika leo Jumatano, Juni 18, mwaka huu ambapo yeye na timu yake watatembea kwa miguu kutokea mjini (Posta) kuelekea Mbagala huku wakigawa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies26 Jul
Jokate Aibuka Muigizaji Bira wa Kike Kwenye Tuzo za ZIFF
“Shukrani Sana Zanzibar International Film Festival Kwa Kuona Moja Ya Vipaji Vyangu Kwa Kunipa Tuzo Ya Muigizaji Bora Wa Kike In Swahili Film. Asante Sana Sana Pia @jb_jerusalemfilms Kwa Fursa Ya Kufanya Kazi Nawewe Na Kwa Kutambua Kipaji Changu. Thank You ZIFF for this Honor. God Bless.”
Ameaandika jokate kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram.
Washindi wengine wa tuzo hizo zilizotolewa usiku wa jana, katika upande wa Bongo Movies ni kama ifuatavyo.
1. People’s Choice Award –...
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Michael Jordan aibuka bilionea mpya
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dYrun-ABslc/U69qOUV22nI/AAAAAAAFtXg/gnZ3GjH41qY/s72-c/download.jpg)
Rose mhando aibuka na nyimbo mpya ya "Facebook"
![](http://3.bp.blogspot.com/-dYrun-ABslc/U69qOUV22nI/AAAAAAAFtXg/gnZ3GjH41qY/s1600/download.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9wY6nHswW4*h-GO5gwHi6yHTGmj2RuQhdN*AbWotMHDUhUor83SJve7mojsYwbYzX5xd0yIzmdT-TGLbVfJtEpiffD2LhhT/shilole.jpg?width=650)
SHILOLE AIBUKA NA ‘SERENGETI BOY’ MPYA
11 years ago
GPLJOKATE MWEGELO AZINDUA MRADI MPYA WA KIDOTI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj3FIYwLDHFvAMn3Aj-wr0CGhANVfy*FPGOYba2POr9lk8nRebs5WljaT-M7krgRAdc7ZNy-*qF-o3quLRBZ9twe/jokate2.jpg?width=650)
JOKATE AELEZEA BIDHAA YAKE MPYA YA NDALA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/eCVPoSZhDSU/default.jpg)
MSANI ERICA LULAKWA AIBUKA NA SINGLE YAKE MPYA "HONGERA WANAWAKE"
Kwa ubora wa Single ya Hongera Wanawake pakua hapa
iTune :- http://itunes.apple.com/album/id975646987
Mkito :- https://mkito.com/song/hongera-wanawake/13611
Maelezo zaidi kuhusu msani Erica tembelea tovuti yake binafsi http://www.ericalulakwa.com
9 years ago
Mtanzania28 Aug
Jokate Mwegelo msemaji kamati mpya Miss Tanzania
NA ESTHER MNYIKA
MSIMAMIZI wa mashindano ya Urembo Tanzania, ‘Miss Tanzania’, Hashimu Lundenga, ametambulisha kamati mpya ya muda inayoundwa na wajumbe 12 akiwemo Jokate Mwegelo aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006.
Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Juma Pinto, makamu mwenyekiti, Lucas Ritta, katibu mkuu ni Doris Mollel na Joketi Mwegelo ambaye ndiye anakuwa msemaji wa kamati hiyo.
Wajumbe wengine ni Hoyce Temu, Mohamed Bawazir, Gladyz Shao, Magdalena Munisi, Shah Ramadhani, Hamm...