Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOKATE AELEZEA BIDHAA YAKE MPYA YA NDALA


                                    Mwanamitindo na mtangazaji wa TV nchini, Jokate Mwegelo. Picha ya bidhaa mpya ya ndala ya Kidoti. Mwanamitindo na mtangazaji wa TV nchini, Jokate Mwegelo amefunguka kwa kusema kuwa ameamua kufungua biashara ya ndala za brand yake ya ‘Kidoti’ kutokana na mapenzi yake ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

GLOBAL TV ONLINE : JOKATE AFUNGUKA KUHUSU BIDHAA ZA KAMPUNI YAKE.



Imefichuka! Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo urembo na muziki, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kwa mara ya kwanza ameweka wazi kwamba alitaka kunywa sumu kisa kikiwa ni kuumizwa kimapenzi na mwanaume aliyempenda kupindukia, aya zifuatazo zimesheheni.Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo urembo na muziki, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’,MBELE YA GAZETI HILIAkizungumza katika spesho intavyu na gazeti namba moja la mastaa Bongo, Ijumaa Wikienda,...

 

11 years ago

Bongo5

Nature aapa kutoweka wazi miradi yake, ni baada ya idea ya ndala kuchukuliwa

Msanii mkongwe wa muziki kutoka TMK, Juma Nature amesema baada ya kuibiwa idea yake ya biashara ya ndala amejifunza kutoweka wazi miradi yake iliyopo kwenye ‘pipeline’. Nature ameiambia Bongo5 kuwa amekoma kutangaza miradi yake hadi pale itakapokuwa imekamilika. “Watu wanakuwa matajiri kwa idea za kwangu mimi, sasa hivi siwezi kuzinadi kazi zangu kwa sababu zinapotea, […]

 

9 years ago

Bongo5

Sheddy Clever aelezea furaha yake kukutana na Bizman studio

Shebby Clever na Bizman

Mtayarishaji wa muziki wa Burn Records, Sheddy Clever ameelezea furaha yake baada ya kutembelewa na mtayarishaji mkongwe wa muziki, Bizman na kumfunza baadhi ya mambo.

Shebby Clever na Bizman

Sheddy ameiambia Bongo5 kuwa ilikuwa ni ndoto yake ya siku nyingi kukutana na mkongwe huyo aliyekuwa akisikiliza ngoma zake tangu akiwa shuleni.

“Bizman ni mtu ambaye namwelewa sana na namkubali sana toka nipo shule kazi zake nazitambua,” amesema Sheddy. “Kwahiyo nilikuwa nikimtafuta siku nyingi sana lakini nilikuwa simpati...

 

10 years ago

Vijimambo

DULLY SYKES AELEZEA MCHANGO WA BABA YAKE KATIKA MUZIKI WAKE

Jana ndipo ilipokuwa safari ya mwisho ya Marehemu Mzee Sykes baba yake na Msanii Mkongwe Nchini Dully Sykes ambapo Mzee Sykes alipumzishwa katika makazi yake ya Milele huko katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar-es-Salaam.
Kutokana na Msiba huo Tokea Juzi simu ya Dully Imekuwa haipatikani Ila leo @DjHaazu wa @MamboJamboRadio amempata na Kupiga naye Story mbili tatu kuhusiana na Marehemu Mzee Sykes kwa kifupi.Katika Mazungumzo yake Dully ameeleza kuwa Mzee Wake alikuwa anaugua Muda mrefu na...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU MWENYEKITI WA HUAWEI AELEZEA MAONO YAKE KUHUSU ULIMWENGU WA TEKNOLOJIA YA 5G.

 Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Huawei,Ken Hu akizungumza katika Mkutano wa Dunia wa masuala ya simu (MWC) uliofanyika jijini Barcelona nchini Hispania mwishoni mwa wiki iliyopita,uliokuwa ukijadili teknolojia ya simu za mkononi (5G).Kizazi cha tano cha teknolojia ya simu za mkononi (5G) kinategemewa kuwa nguzo muhimu sana ya miundo mbinu katika ulimwengu ujao wa teknolojia. Hayo yamesemwa na Bwana Ken Hu, Makamu mwenyekiti wa Kampuni ya Huawei ambaye kwa kupokezana yeye ndiye...

 

10 years ago

GPL

TIMAYA AELEZEA ALIVYOKATAA DILI MPYA MTN

Mwanamuziki wa Nigeria, Timaya. MWANAMUZIKI wa Nigeria, Timaya, anayejiita ‘Egberipapa 1  of Bayelsa’, amekataa kuongeza mkataba na kampuni la zana za mawasiliano la MNT nchini humo akiwa balozi wake. Timaya ambaye ni baba wa mtoto moja na ambaye mama mtoto wake anategemea kujifungua mtoto wa pili, amefichua kwa nini hakuendelea na mkataba mpya na MTN kama walivyofanya wasanii wengine kama KCee, Nkem Owoh  na...

 

9 years ago

Bongo5

Taylor Swift aelezea fundisho alilopata kutokana na beef yake na Nicki Minaj

Taylor Swift amekiri kuwa kuna kitu amejifunza kutoka kwenye beef yake na Nicki Minaj. Mwimbaji huyo mwenye miaka 23 alipishana maneno na rapper Nicki Minaj kupitia Twitter miezi kadhaa iliyopita, kutokana na nominations za VMAs japo kuwa walishamaliza tofauti zao. Taylor amesema kitu kikubwa alichojifunza kutoka kwenye beef hiyo ni kuwa, atakuwa akitumia sms kuwasiliana […]

 

10 years ago

Vijimambo

EDMUND RUTARAKA AELEZEA MATARAJIO YAKE YA UBUNGE MOSHI MJINI NI BAADA YA KUCHUKUA FOMU.

Katibu Msaidizi wa CCM ,manispaa ya Moshi,Donatha Mushi akimkabidhi Edmund Emanuel Rutaraka fomu ya kugombea nafasi ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kuwa mgombea wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini .Zoezi hili lilifanyika katika ofisi za CCM wilaya ya Moshi mjini.Picha ya Video imepigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii Kanda ya Kaskazini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani