Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIMAYA AELEZEA ALIVYOKATAA DILI MPYA MTN

Mwanamuziki wa Nigeria, Timaya. MWANAMUZIKI wa Nigeria, Timaya, anayejiita ‘Egberipapa 1  of Bayelsa’, amekataa kuongeza mkataba na kampuni la zana za mawasiliano la MNT nchini humo akiwa balozi wake. Timaya ambaye ni baba wa mtoto moja na ambaye mama mtoto wake anategemea kujifungua mtoto wa pili, amefichua kwa nini hakuendelea na mkataba mpya na MTN kama walivyofanya wasanii wengine kama KCee, Nkem Owoh  na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JOKATE AELEZEA BIDHAA YAKE MPYA YA NDALA


                                    Mwanamitindo na mtangazaji wa TV nchini, Jokate Mwegelo. Picha ya bidhaa mpya ya ndala ya Kidoti. Mwanamitindo na mtangazaji wa TV nchini, Jokate Mwegelo amefunguka kwa kusema kuwa ameamua kufungua biashara ya ndala za brand yake ya ‘Kidoti’ kutokana na mapenzi yake ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wacheza dili wa ndege ‘mpya’ ATCL hawa hapa

VIGOGO wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), waliofanya dili la kukodisha ndege chakavu aina ya CRJ 200 na kutangaza kwamba wameinunua, wamebainika. Vigogo hao wamebainika katika mwendelezo wa uchunguzi uliofanywa...

 

5 years ago

Michuzi

Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda

Tigo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa ubunifu wa Kidigitali nchini, leo imezindua huduma inayowawezesha watumiaji wote wa Tigo Pesa nchini Tanzania kuweza kutuma na kupokea pesa kupitia simu zao za mkononi kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN za nchini Rwanda.
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...

 

9 years ago

Bongo5

Rihanna asaini dili nono la shilingi bilioni 54 na Samsung kudhamini album yake mpya

Rihanna akiwa anajiandaa kutoa album yake mpya, amesaini dili nono la dola milioni 25 (sawa na shilingi bilioni 54) na kampuni ya Samsung kwaajili ya kudhamini album hiyo pamoja na ziara. Jay Z pamoja na meneja wa Rihanna, Jay Brown walisaidia katika kufunga dili hiyo. Mapema mwezi huu Jay Z alionekana akitoka kwenye ofisi za […]

 

10 years ago

Bongo5

Exclusive: Q-Chief aelezea kusaini mkataba na kampuni mpya, majaribu, alichojifunza na ujio wake kama msanii aliyebadilika (Video)

Muimbaji mkongwe wa muziki wa Bongo Flava aliyewahi kuhit na nyimbo nyingi, Abubakar Katwila aka Q-Chief amesaini mkataba wa usimamizi na kampuni ya Apex Consultants & Associates ya QS ya Joseph Mhonda. Akiongea na Bongo5 kwenye mahojiano exclusive, Chief amesema kusaini mkataba na kampuni hiyo kumempa matumaini mapya baada ya kuwa kwenye majaribu mazito kwa […]

 

9 years ago

Mtanzania

UVCCM yaeleza Dk. Shein alivyokataa kuburuzwa

hamduNa Mwandishi Wetu, Zanzibar

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi  (UVCCM)  umesema wapambe na vigogo waliompigia debe na kumnadi Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein   kuwania urais mwaka 2010,  hivi sasa wamemgeuka na hata baadhi yao kumuona kikwazo.

Kwa mujibu wa Umoja huo,  vigogo hao sasa wamemgeuka na baadhi yao wanamuona kikwazo kwa msimamo wake wa mapinduzi na kuonekana mtu  asiyeyumbishwa kwa kukataa vitisho.

Kauli hiyo ilitolewa   mjini Unguja jana na Kaimu Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mangula akumbusha Nyerere alivyokataa Serikali tatu

SIKU chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kuimwagia sifa Katiba Inayopendekezwa, huku akisema 'Sijui angekuwa na kauli gani kama ingependekeza Serikali Tatu’, Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Philip Mangula amesema Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipinga mfumo wa Serikali Tatu tangu nchi ipate Uhuru mwaka 1961.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Timaya — Hallelujah

Nigerian Afrobeat Timaya release the. official music video of his lastest single titled “Hallelujah”. The Video directed by Mattmax. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani