Rihanna asaini dili nono la shilingi bilioni 54 na Samsung kudhamini album yake mpya
Rihanna akiwa anajiandaa kutoa album yake mpya, amesaini dili nono la dola milioni 25 (sawa na shilingi bilioni 54) na kampuni ya Samsung kwaajili ya kudhamini album hiyo pamoja na ziara. Jay Z pamoja na meneja wa Rihanna, Jay Brown walisaidia katika kufunga dili hiyo. Mapema mwezi huu Jay Z alionekana akitoka kwenye ofisi za […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo508 Oct
Rihanna atangaza jina la album yake mpya
9 years ago
Bongo508 Oct
Picha: Rihanna afanya utambulisho wa jina na cover ya album yake mpya
10 years ago
Bongo513 Nov
Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’
9 years ago
Bongo524 Nov
Rihanna kuanza ziara ya album yake ‘Anti World Tour’ mwakani
![Riri](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Riri-300x194.jpg)
Taarifa zisizo rasmi zinasema kuwa album mpya ya Rihanna ‘ANTI’ huenda ikatoka Ijumaa hii (Nov.27), japokuwa Rihanna wala msemaji wake hawajathibitisha.
Inasemekana kuwa album hiyo ya nane itatoka exclusively kupitia mtandao wa Jay Z, Tidal mpaka Dec 4 ndio itaanza kupatikana kwenye platform zingine.
Riri pia ametangaza ziara yake ya kuitangaza album hiyo ‘Anti World Tour’ itakayoanza Feb 2016. Kwenye ziara hiyo atakuwa na Big sean, Travis scott na The Weekend.
#ANTIWorldTour starts Feb...
9 years ago
Bongo526 Nov
Album mpya ya Rihanna ‘ANTI’ itapatikana exclusive kwa wiki moja kwenye Tidal
![rihanna-anti-mama-gallery-2015-billboard-650](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/rihanna-anti-mama-gallery-2015-billboard-650-300x194.jpg)
Kuna tetesi kuwa album mpya na ya nane ya Rihanna, ANTI itatoka Ijumaa hii na kupatikana kwenye mtandao wa Tidal peke yake kwa kipindi cha wiki moja kabla ya kuwekwa kwingine.
Billboard wamedai kuwa hatua hiyo itaathiri mauzo ya wiki ya album hiyo. Rihanna ni miongoni mwa mastaa wenye hisa kwenye mtandao wa Tidal.
Hata hivyo kazi nyingi zilizowekwa kwenye mtandao huo zimeonesha kutokuwa na mapokezi makubwa kama zinazowekwa kwenye Spotify na YouTube.
Mfano mzuri ni wimbo wake ‘American...
9 years ago
Bongo505 Oct
Davido atangaza tarehe mpya ya kuachia album yake mpya ‘Baddest’
10 years ago
Bongo518 Aug
Mohammed Dewji achukua mkopo wa shilingi bilioni 434 kukuza himaya yake!!
9 years ago
Bongo509 Nov
One The Incredible kuachia album yake mpya
![One Incredible](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/11/One-Incredible-300x194.jpg)
Rapper One The Incredible amesema yupo kwenye maandalizi ya kuachia album yake mpya ambayo bado hajaipa jina.
One ameiambia Bongo5 kuwa album hiyo ataifanya iwe bora ili kuhakikisha kuwa mashabiki wake wanapata kitu chenye ubora wa hali ya juu.
“Sasa nina nyimba 18 tayari nimesharekodi na bado ninaendelea kurekodi ndio nianze kupanga ipi itoke na ipi ibaki. Lakini najua na ninajipanga vizuri album iwe kali kila mwenye bahati ya kuwa nayo anufaike na kile nilichokifannya. Na mpaka sasa hivi...
10 years ago
Bongo519 Nov
One the Incredible kuzindua album yake mpya, R.A.P