Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nature aapa kutoweka wazi miradi yake, ni baada ya idea ya ndala kuchukuliwa

Msanii mkongwe wa muziki kutoka TMK, Juma Nature amesema baada ya kuibiwa idea yake ya biashara ya ndala amejifunza kutoweka wazi miradi yake iliyopo kwenye ‘pipeline’. Nature ameiambia Bongo5 kuwa amekoma kutangaza miradi yake hadi pale itakapokuwa imekamilika. “Watu wanakuwa matajiri kwa idea za kwangu mimi, sasa hivi siwezi kuzinadi kazi zangu kwa sababu zinapotea, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Tanzania kinara kutoweka wazi nyaraka za bajeti kwa wananchi’

TANZANIA imeelezwa kuwa nchi inayoongoza kwa kutoweka bajeti zake wazi kwa wananchi na hivyo kurudisha nyuma suala zima la uwajibikaji. Hayo yalielezwa jana Jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi...

 

11 years ago

GPL

JOKATE AELEZEA BIDHAA YAKE MPYA YA NDALA


                                    Mwanamitindo na mtangazaji wa TV nchini, Jokate Mwegelo. Picha ya bidhaa mpya ya ndala ya Kidoti. Mwanamitindo na mtangazaji wa TV nchini, Jokate Mwegelo amefunguka kwa kusema kuwa ameamua kufungua biashara ya ndala za brand yake ya ‘Kidoti’ kutokana na mapenzi yake ya...

 

10 years ago

Bongo5

Noorah: Nilikata tamaa ya kuachia nyimbo baada ya ngoma mbili kali za mwisho kuchukuliwa poa

Rapper Noorah aka Babastylez amedai kuwa sababu iliyomkatisha tamaa kuendelea kuachia nyimbo ni kuchukuliwa poa kwa ngoma zake mbili za mwisho alizozitoa ambazo yeye aliamini ni kali na zilistahili kufanya vizuri. “Kuna nyimbo mbili tatu nilizitoa zilikuwa kali sana kama ‘Chambervement’ niliyomshirikisha marehemu Magwair na ‘Mapenzi Sinema’ niliyomshirikisha Dataz, hazikufika katika kiwango ambacho zilistahili kufika […]

 

9 years ago

Vijimambo

AUDIO : LEMBELI AELEZA HATMA YAKE BAADA YA KUUKOSA UBUNGE, AJIBU TETESI JUU YAKE IKIWEMO YA KUUZA REDIO YAKE


Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake kipya cha Chadema.
Akiongea katika taarifa rasmi kwa wananchi wa jimbo hilo, Lembeli amesema kuwa hivi sasa atajikita zaidi katika shughuli za chama chake pamoja na shughuli alizokuwa akizifanya kabla ya kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Alisema kuwa ataendelea kufanya kazi zake na mashirika ya kimataifa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kim Jong-un: Kutoweka kwake, siasa ya kimataifa, malengo yake na jeshi la Korea Kaskazini

Katika siku za hivi karubuni kiongozi huyo wa Korea kaskzini alitoweka katika maeneo ya umma kwa siku 20 na kukosa sherehe za kuadhimisha siku ya kuzaliwa ya babu yake - ikiwa ni sherehe kubwa mwaka huu.

 

9 years ago

Bongo5

Cassper Nyovest aapa kutozungumzia tena beef yake na AKA, ‘It’s over for me’

Cassper-Nyovest4

Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest ameapa kutozungumzia tena beef yake na rapper AKA kwasababu ameamua kuachana nayo moja kwa moja ili aendelee na mambo mengine.

Cassper-Nyovest4

Akihojiwa kwenye kipindi cha MTV Base ‘Behind The Story’, Cassper ambaye ameshinda tuzo mbili za AFRIMA weekend iliyopita Lagos, Nigeria, alipohojiwa kuhusu beef yake na AKA alisema hataki kuzungumzia tena swala hilo, ameamua kuendelea mbele.

“I don’t wanna talk about it anymore. It’s not gonna end, man. This is one of the...

 

10 years ago

Mtanzania

Juma Nature kujivunia miaka 16 ya mafanikio yake

JUMANA HADIA KHAMIS
MSANII mwenye jina kubwa katika muziki wa Bongo Fleva nchini, Juma Kassim Kiroboto ‘Juma Nature’, anatarajia kusherehekea miaka 16 ya mafanikio yake hivi karibuni.
Mafanikio hayo atayafurahia katika tamasha la Komaa Concert ambapo watashirikiana na kituo cha Redio cha EFM kinachosherehekea mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.
Mkurugenzi wa mawasiliano wa kituo hicho, Dennis Sebbo, alisema tamasha hilo litafanyika katika Manispaa ya Temeke ikiwa ni heshima ya msanii huyo kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani