TUZO ZA MTV: DAVIDO MWANAMZIKI BORA WA KIUME
![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi1y235jyGPcZ5rCbtxuweXUbKOLbfsomLjbAYETwvQP7qn4t8PknaEj24NHv4kqR1BCNwrDjvgWqw9UgwliDhpe/Davido1.jpg?width=650)
Mwanamziki Bora wa Kiume, David Adedeji Adeleke 'Davido' Katika kipengele Mwanamziki Bora wa Kiume walikuwa ni Anselmo Ralph ( wa Angola), Davido (Nigeria), Donald ( Afrika Kusini) , Wizkid (Nigeria) na Diamond Platnumz (Tanzania).  Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya hizo. Tuzo ya best collabo ilitangazwa awali na imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies09 May
Sasa ni Zamu ya Waigizaji Bora wa Kiume Piga Kura Yako Tuzo za Tafa
Mchakato unaendelea kwa kuwapigia kura waliopendekezwa kuwania tuzo za filamu Tanzania sasa ni zamu ya waigizaji bora wa kiume kwa mwaka 2015, kila mshindani anaonyesha shauku ya kutaka kuibuka mshindi wa tuzo za filamu Tanzania wote ni wakali mchangue anayemzidi mwezake.
Katika kundi hili unakutana wasanii kama Lumole Matovolwa, Jacob Stephen ‘JB’, Salim Ahmed ‘Gabo’, Omary clayton, Bicco Mathew, Brian Ibrick na Kulwa Kikumba ‘Dude’ ni mpambano wa kukata na shoka .
Piga kura kwa kufuata...
11 years ago
MichuziTASWIRA ZA MAPOKEZI YA DIAMOND BAADA YA KUSHINDA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME AFRIKA MASHARIKI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-efiSvsqbQz8/VC5uhHMrH_I/AAAAAAAGng0/NQtnyrglvck/s72-c/Diamond1.jpg)
BASATA YAMPONGEZA DIAMOND KWA KUSHINDA TUZO YA MSANII BORA WA MWEZI WA KITUO CHA MTV BASE
![](http://1.bp.blogspot.com/-efiSvsqbQz8/VC5uhHMrH_I/AAAAAAAGng0/NQtnyrglvck/s1600/Diamond1.jpg)
Aidha, Baraza linampongeza msanii huyu na wenzake Peter Msechu na Vannessa Mdee kwa kuchaguliwa kushindania tuzo mbalimbali katika tuzo za “All...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4O6eIqcn6-5JyIr5680AowG*f52hX4d4xiFN4DoXp462sQ-2z5VmfRBUvJ-RJmBS7XQbfUv6D7xNzFGTH3QSQRoRq1yUbmCY/DAVIDO.png)
TUZO ZA BET 2014: DAVIDO ATWAA TUZO YA BEST AFRICAN ACT
9 years ago
Bongo508 Oct
Davido kutambulisha video 5 mpya ambazo hakuwahi kuzitoa Jumamosi hii kupitia MTV Base
11 years ago
GPL![](http://i2.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2014/06/4X7A0015.jpg?resize=618%2C412)
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
Diamond atwaa tuzo ya Mtv-Base
NYOTA ya Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’, imezidi kung’aa baada ya kutwaa tuzo ya Msanii Bora wa mwezi huu wa Kituo cha Televisheni cha Mtv-Base cha Afrika...