BASATA YAMPONGEZA DIAMOND KWA KUSHINDA TUZO YA MSANII BORA WA MWEZI WA KITUO CHA MTV BASE
![](http://1.bp.blogspot.com/-efiSvsqbQz8/VC5uhHMrH_I/AAAAAAAGng0/NQtnyrglvck/s72-c/Diamond1.jpg)
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini linapenda kutoa pongezi za dhati kwa Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul maarufu kama Diamond kwa kushinda tuzo ya Msanii bora wa mwezi wa kituo cha televisheni cha MTV Base kinachorusha matangazo yake kutoka Afrika Kusini na kuyafikia maeneo mengi duniani.
Aidha, Baraza linampongeza msanii huyu na wenzake Peter Msechu na Vannessa Mdee kwa kuchaguliwa kushindania tuzo mbalimbali katika tuzo za “All...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QwOioJR3DFk/VHw1NqaNa-I/AAAAAAAG0cw/2TE2MlijX34/s72-c/diamond21.jpg)
BASATA YAMPONGEZA MSANII NASSIB ABDUL AKA DIAMOND KWA KUSHINDA TUZO TATU ZA CHOAMVA14
![](http://1.bp.blogspot.com/-QwOioJR3DFk/VHw1NqaNa-I/AAAAAAAG0cw/2TE2MlijX34/s1600/diamond21.jpg)
Tuzo alizoshinda Diamond ni pamoja na Most Gifted East African Artist, Most Gifted Afro Pop video na ile ya Most Gifted New Comer.
Kushinda kwa Diamond katika tuzo...
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Tigo yampongeza msanii Diamond Platnumz kwa kushinda tuzo ya Kimataifa
Meneja wa huduma ya Tigo music, Balla Shareeph akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ kwa kupata tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini Durban, Afrika Kusini, Kampuni ya Tigo ilidhamini tukio hilo jana jijini Dar Es Salaam.
Msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza kushinda tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini...
10 years ago
Bongo501 Oct
Diamond Platnumz ni msanii wa mwezi October, (#AoTM) wa MTV Base
11 years ago
MichuziTASWIRA ZA MAPOKEZI YA DIAMOND BAADA YA KUSHINDA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME AFRIKA MASHARIKI
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
Diamond atwaa tuzo ya Mtv-Base
NYOTA ya Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’, imezidi kung’aa baada ya kutwaa tuzo ya Msanii Bora wa mwezi huu wa Kituo cha Televisheni cha Mtv-Base cha Afrika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct4BimYh7MjACZjMns40SaYjnCy9kFTbbnPVPq14ZS5hBbSZi6h4nwke8LtoRuG5SIhXuIRkwRSHUPlsdmtVbaaUCpFGGO*5/08diamondtuzo8.jpg?width=650)
PONGEZI KWA MSANII NASSIB ABDUL AKA DIAMOND KWA KUSHINDA TUZO TATU ZA CHOAMVA14
9 years ago
Bongo526 Oct
Swizz Beatz ampongeza Diamond kwa kumuita ‘King’ baada ya kushinda tuzo za MTV EMA, soma pongezi za mastaa wengine hapa
11 years ago
CloudsFM09 Jun
KAULI DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUTOPATA TUZO YA MAMA INAYOTOLEWA NA MTV BASE
Juzi Jumamosi ndiyo ilikua kilele na siku ya kutoa tuzo kwa washidi katika tuzo za MAMA zinazotolewa na MTV BASE , zoezi hili lilifanyika huko Africa ya kusini, pia mtanzania mwenzetu alipata fulsa ya kushiriki Tuzo hizo, Diamond platnumz kwa bahati mbaya ameshindikana kunyakua Tuzo hiyo.
Ni hatua tua nzuri kwa muziki wa tanzania japo hajachukua lakani tayari ameonekana na kazi zake zimeonekana tumbe mungu wakati mwingine ije kwetu na nasi tutoe sapoti za kutosha kwa wasanii wetu ili kuipa...