Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond Platnumz ni msanii wa mwezi October, (#AoTM) wa MTV Base

Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz ndiye msanii wa mwezi huu wa kituo cha MTV Base. Katika kampeni hiyo iitwayo #AoTM msanii mmoja hufanyiwa kampeni ya mwezi mzima kwenye kituo hicho. Mwezi uliopita alikuwa Casper Nyovest wa Afrika Kusini. Diamond akiwa kwenye mtandao wa MTV Base Hivi karibuni MTV Base […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BASATA YAMPONGEZA DIAMOND KWA KUSHINDA TUZO YA MSANII BORA WA MWEZI WA KITUO CHA MTV BASE

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini linapenda kutoa pongezi za dhati kwa Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul maarufu kama Diamond kwa kushinda tuzo ya Msanii bora wa mwezi wa kituo cha televisheni cha MTV Base kinachorusha matangazo yake kutoka Afrika Kusini na kuyafikia maeneo mengi duniani.
Aidha, Baraza linampongeza msanii huyu na wenzake Peter Msechu na Vannessa Mdee kwa kuchaguliwa kushindania tuzo mbalimbali katika tuzo za “All...

 

11 years ago

CloudsFM

KAULI DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUTOPATA TUZO YA MAMA INAYOTOLEWA NA MTV BASE

Juzi Jumamosi ndiyo ilikua kilele na siku ya kutoa tuzo kwa washidi katika tuzo za MAMA zinazotolewa na MTV BASE , zoezi hili lilifanyika huko Africa ya kusini, pia mtanzania mwenzetu alipata fulsa ya kushiriki Tuzo hizo, Diamond platnumz kwa bahati mbaya ameshindikana kunyakua Tuzo hiyo.Ni hatua tua nzuri kwa muziki wa tanzania japo hajachukua lakani tayari ameonekana na kazi zake zimeonekana tumbe mungu wakati mwingine ije kwetu na nasi tutoe sapoti za kutosha kwa wasanii wetu ili kuipa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Navy Kenzo washika #4 katika Video 50 zilizobamba zaidi MTV Base mwaka 2015, wampita Diamond Platnumz

Navy-Kenzo

Kundi la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015.

Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo huo wa Nana Pia Umetengenezwa na Producer Nahreel Kitu kinachomfanya Aendelee kuwa Producer Bora zaidi Kuwahi kutokea Tanzania na East Africa kwa...

 

11 years ago

GPL

MPIGIE KURA MSANII DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TUZO ZA MTV MAMA

KUMPIGIA KURA MSANII DIAMOND PLATNUMZ, INGIA: HAPA

 

9 years ago

Bongo5

Video: Promo ya kipindi cha ‘A Day In The Life’ cha MTV Base kilichokuwa na Diamond Platnumz

1889237_900749910001587_1263689504_n

Alipokuwa Milan, Italia, Diamond Platnumz hakuondoka na tuzo ya World Wide Act: Africa/India kwenye MTV EMA pekee, alizunguka pia na VJ wa MTV Base, Stephanie Coker kufanya shopping kwenye mitaa ya jiji hilo kwaajili ya kipindi cha A Day In The Life.

Kwenye kipindi hicho kilichoruka jana jioni, Diamond na Stephanie wanaonekana wakizunguka kwenye maeneo mbalimbali ya mji huo na kupiga story.

Tazama promo ya kipindi hicho hapo juu.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia...

 

9 years ago

Michuzi

Kundi la Muziki la Navy Kenzo Lashika Namba Nne Katika Video 50 Zilizobamba Zaidi MTV Base Mwaka 2015, Wampita Diamond Platnumz

Kundi la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015..
Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo huo wa Nana Pia Umetengenezwa na Producer Nahreel Kitu kinachomfanya Aendelee kuwa Producer Bora zaidi Kuwahi kutokea Tanzania na East Africa kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diamond atwaa tuzo ya Mtv-Base

NYOTA ya Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’, imezidi kung’aa baada ya kutwaa tuzo ya Msanii Bora wa mwezi huu wa Kituo cha Televisheni cha Mtv-Base cha Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani