Davido kutambulisha video 5 mpya ambazo hakuwahi kuzitoa Jumamosi hii kupitia MTV Base
Staa wa Nigeria, Davido ana video 5 kwenye maktaba yake ambazo hakuwahi kuzitoa, lakini amepanga kuzitambulisha kwa mashabiki wake Jumamosi hii (Oct.10). Wasanii huwa wana tabia ya kurekodi nyimbo nyingi ambazo baadae huja kuzichuja ili kupata zile kali zaidi za kutoa na zingine kuziweka kwenye album, lakini kuna zingine huwa zinaachwa kabisa endapo kukiwa na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo512 Nov
Davido Exposed: Tazama video 5 za Davido ambazo hakuwahi kuzitoa
![davido A](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/davido-A-300x194.jpg)
Mwezi uliopita kituo cha MTV Base kilimfanyia mahojiano staa wa Nigeria, Davido kwenye kipindi maalum kilichopewa jina la ‘Davido Exposed’, ambapo alitambulisha video 5 ambazo hakuwahi kuzitoa. Video hizo ni za nyimbo za kwenye album yake ya kwanza ‘O.B.O’.
Kama kipindi hicho kilikupita kupitia MTV Base hii ni nafasi yako nyingine ya kukitazama na kuziona video 5 za Davido ambazo hakuzitoa. Pia amezungumzia mambo mengine ikiwemo album yake mpya ambayo kwa sasa ameisogeza mpaka...
9 years ago
Bongo530 Dec
Video mpya ya Chege ‘Sweety Sweety’ yaanza kuinyemelea chati ya MTV Base
![chege nw](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/chege-nw-300x194.jpg)
Ni ndoto za kila msanii anayewekeza pesa zake kwenda kufanya video nje ya nchi na waongozaji wa nje kuona video yake inampigisha hatua moja mbele, moja wapo ikiwa ni kuchezwa kwenye vituo vikubwa vya nje.
Chege ni miongoni mwa wasanii walioachia video mpya hivi karibuni, na video yake ya ‘Sweety Sweety’ iliyoongozwa na Justin Campos wa kampuni ya Gorilla Films baada ya kupata airplay kwenye kituo cha MTV Base kwa siku 12 imeanza kunusa chati ya nyimbo bora za Afrika za kituo hicho wiki hii...
9 years ago
Bongo510 Nov
Video ya wimbo mpya wa Joh Makini ft. AKA ‘Don’t Bother’kutambulishwa MTV Base (Nov.10)
![Joh na AKA MTV](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Joh-na-AKA-MTV-300x194.jpg)
Baada ya Nikki Wa Pili wa Weusi kutambulisha wimbo wake mpya ‘Baba Swalehe’ Ijumaa iliyopita, sasa ni zamu ya kaka yake Joh Makini kuwaonesha mashabiki wake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla kile alichoenda kufanya Afrika Kusini miezi kadhaa iliyopita.
Video ya wimbo mpya wa Joh Makini aliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini ‘AKA’ itatambulishwa kwa mara ya kwanza leo (Nov. 10) saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki) na kituo cha kimataifa cha MTV Base.
‘Don’t Bother’ imetayarishwa na...
10 years ago
Bongo523 Apr
Video mpya ya Joh Makini ‘Nusu Nusu’ kutambulishwa ‘Exclusive’ na MTV Base Ijumaa (April 24)
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Video ya Jux yachezwa MTV Base
NA ELLY MHAGAMA (TUDARCO)
MSANII wa Bongo Fleva, Juma Mussa (Jux) ametambulisha video ya wimbo wake mpya aliouita ‘I m looking for you’ ambao picha za video yake imefanyika nchini Afrika Kusini.
Katika video hiyo aliyomshirikisha mwana hip hop, Joh Makini, ni ya kwanza kwa msanii huyo kuchezwa katika kituo cha kimataifa cha MTV Base.
Wimbo huo uliochezwa katika kituo hicho jana majira ya saa 12, video yake imeandaliwa na muongozaji kutoka Afrika Kusini, Justin Compos wa Gorilla Films huku...
9 years ago
Bongo520 Nov
Director Enos Olik wa Kenya azungumzia kuhusu wasanii kushoot video SA, na baadhi ya video kutoka EA kutochezwa Trace na MTV Base
![enos4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/enos4-300x194.jpg)
Enos Olik ni muongozaji na mtayarishaji wa video za muziki kutoka Kenya, ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Afrika kuanzia A-list hadi wale wa kawaida.
Shaa, Young Dee, Alikiba na Christian Bella ni baadhi ya wasanii wa Bongo ambao wameshampa ulaji director huyo kufanya video zao. Video zingine alizofanya ni ‘Kioo’ ya Jaguar, ‘Sura Yako remix’ ya Sauti Sol na Iyanya, ‘Never Been Loved’ ya Maurice Kirya, ‘Touch Me There’ ya Redsan ft. Nyla na zingine kadhaa wa kadhaa.
Bongo5...
9 years ago
Bongo517 Dec
Wimbo mpya wa Chege aliomshirikisha Runtown wa Nigeria kutambulishwa leo (Dec.17) na MTV Base
![Chege mtv](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Chege-mtv-300x194.jpg)
Ni muda mrefu umepita toka msanii kutoka TMK, Chege Chigunda aanze kuzunguzia kuwa anafanya collabo na msanii wa Nigeria, Runtown na Uhuru wa Afrika Kusini – Sweety Sweety, na hatimaye sasa video ya wimbo huo iliyofanyika Afrika Kusini hivi karibuni itatambulishwa kwa mara ya kwanza kupitia MTV Base.
Video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Gorilla Films itaoneshwa kwenye Spanking New ya MTV Base Ahamisi Dec. 17, 2015 saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki).
Chege anaongezeka kwenye...
10 years ago
Bongo524 Oct
Video: Mtazame Vanessa Mdee akihost show ya #MadeOfBlack ya MTV Base