Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Mtazame Vanessa Mdee akihost show ya #MadeOfBlack ya MTV Base

Mtazame Vanessa Mdee pamoja na watangazaji wengine wa MTV Base wakihost show ya Made of Black ambapo wasanii wakiwemo Fuse ODG walitumbuiza. Hii ni video iliyotokana na kampeni hiyo, ‘Black Commando’ ya Fuse ODG, Olamide & Stanley

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee ashika nafasi ya pili kwenye orodha ya MTV Base ya wasanii wa kike walio juu Afrika

12346294_444980479044924_1318155553_n

Vanessa Mdee amekuwa na mwaka wenye mafanikio makubwa kimataifa.

12346294_444980479044924_1318155553_n

Ndio muimbaji wa kike aliye busy zaidi na show si ndani tu ya Tanzania, bali Afrika nzima.

MTV Base wametoa orodha ya wasanii watano walio juu Afrika kwa sasa na hitmaker huyo wa Never Ever akishika nafasi ya pili.

Orodha hiyo ni:

1. Yemi Alade (Nigeria)
2. Vanessa Mdee (Tanzania)
3. Seyo Shay (Nigeria)
4. Cynthia Morgan (Nigeria)
5. Bucie (Afrika Kusini)

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Mtazame Iyanya akiufurahia na kuuimba wimbo wa Vanessa Mdee ‘Hawajui’

Iyanya ni shabiki mkubwa wa Vanessa Mdee na ndio maana ameamua kupost video hii akiufurahia wimbo wake, Hawajui. Kwenye video hii aliyoiweka Instagram, Iyanya anajaribu kufuatisha maneno ya Kiswahili kwenye wimbo huo japo yanampiga chenga. Tazama video hiyo hapo juu. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari […]

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA TUZO ZA MTV 2015

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond', yupo katika kipengele cha Best Male. Staa wa muziki Tanzania, Vanessa Mdee 'Vee money',  yupo katika kipengele cha Best Female . Best Male
AKA…

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mtanzania

Video ya Jux yachezwa MTV Base

juxNA ELLY MHAGAMA (TUDARCO)

MSANII wa Bongo Fleva, Juma Mussa (Jux) ametambulisha video ya wimbo wake mpya aliouita ‘I m looking for you’ ambao picha za video yake imefanyika nchini Afrika Kusini.

Katika video hiyo aliyomshirikisha mwana hip hop, Joh Makini, ni ya kwanza kwa msanii huyo kuchezwa katika kituo cha kimataifa cha MTV Base.

Wimbo huo uliochezwa katika kituo hicho jana majira ya saa 12, video yake imeandaliwa na muongozaji kutoka Afrika Kusini, Justin Compos wa Gorilla Films huku...

 

9 years ago

Bongo5

Director Enos Olik wa Kenya azungumzia kuhusu wasanii kushoot video SA, na baadhi ya video kutoka EA kutochezwa Trace na MTV Base

enos4

Enos Olik ni muongozaji na mtayarishaji wa video za muziki kutoka Kenya, ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Afrika kuanzia A-list hadi wale wa kawaida.

enos-2

Shaa, Young Dee, Alikiba na Christian Bella ni baadhi ya wasanii wa Bongo ambao wameshampa ulaji director huyo kufanya video zao. Video zingine alizofanya ni ‘Kioo’ ya Jaguar, ‘Sura Yako remix’ ya Sauti Sol na Iyanya, ‘Never Been Loved’ ya Maurice Kirya, ‘Touch Me There’ ya Redsan ft. Nyla na zingine kadhaa wa kadhaa.

enos4

Bongo5...

 

9 years ago

Bongo5

Video ya Yamoto Band ‘Cheza Kwa Madoido’ kutambulishwa MTV Base (Sept 2)

Miongoni mwa sabaabu ambazo wasanii wa Tanzania huzitoa wanapoamua kwenda kufanya video na madirector wa nje, moja wapo huwa ni kupata connection ya video zao kuchezwa katika vituo vya kimataifa. Yamoto Band pia wanaingia kwenye orodha ya wasanii wa Bongo ambao video zao zinaoneshwa na kituo cha MTV Base. Video yao ‘Cheza Kwa Madoido’ iliyoongozwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani