Davido Exposed: Tazama video 5 za Davido ambazo hakuwahi kuzitoa
Mwezi uliopita kituo cha MTV Base kilimfanyia mahojiano staa wa Nigeria, Davido kwenye kipindi maalum kilichopewa jina la ‘Davido Exposed’, ambapo alitambulisha video 5 ambazo hakuwahi kuzitoa. Video hizo ni za nyimbo za kwenye album yake ya kwanza ‘O.B.O’.
Kama kipindi hicho kilikupita kupitia MTV Base hii ni nafasi yako nyingine ya kukitazama na kuziona video 5 za Davido ambazo hakuzitoa. Pia amezungumzia mambo mengine ikiwemo album yake mpya ambayo kwa sasa ameisogeza mpaka...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo508 Oct
Davido kutambulisha video 5 mpya ambazo hakuwahi kuzitoa Jumamosi hii kupitia MTV Base
10 years ago
VijimamboTAZAMA VIDEO YA DAVIDO AKIMPONDA DIAMOND KUWA NYIMBO ZAKE HAZIPIGWI WIKI HII ALIPOKUWA KENYA
When asked by Larry whether East African music receives airplay in Nigeria, Davido gave a brutally honest NO. He even admitted that this collabo with Diamond ‘Number One’ is not played in Nigeria. As true as it may be, that came out badly from a guy who was about to perform in Kenya.
9 years ago
Bongo513 Oct
Davido aigiza kwa mara ya kwanza kwenye filamu mpya ya Nollywood, tazama Trailer
9 years ago
Bongo525 Sep
Video: Davido — Dodo
10 years ago
Africanjam.ComVIDEO: Abizzy Ft Davido - Sugar Remix (Official Video)
Abizzy Ft Davido - FreeTown4Ever Entertainment Drop the remix video of Abizzy's hit single "Suga" Featuring davido. Produced by Nashito Kulala, mixed and mastered by Giggz and Directed by Dang Films.
9 years ago
Bongo506 Jan
Video: Danagog Ft. Davido – Hookah
Msanii kutoka Nigeria Danagog ametoa video mpya ya wimbo aliomshirikisha Davido unaitwa ‘Hookah’ wimbo huu umetajwa kuwa miongoni ma nyimbo zitakazofanya vizuri Nigeria na Afrika mwaka huu.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo514 Jul
Video: R2Bees Ft. Davido — Gboza
10 years ago
Bongo501 Nov
New Video: Davido Ft Dj Arafat — Naughty