Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Airtel na UNESCO wazindua radio ya kwanza Uvinza Kigoma

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha redio jamii Uvinza FM chini ya ufadhili wa shirika la UNESCO na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, ambapo wanawezesha jamii ziishizo pembezoni mwa nchini kupata mawasiliano ya radio jamii na kuboresha upatikanaji wa taarifa muhimu. wakishuhudia ni Meneja huduma kwa jamii Airtel Hawa Bayumi, Mwakilishi wa shirika la kimataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Rose Haji, na Mkurugenzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Airtel, UNESCO wazindua redio Uvinza

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elumu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), wamewawezesha wakazi wa Uvinza mkoani hapa kupata taarifa baada...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI KIGOMA WAZINDUA GAZETI LAO LA KIGOMA YETU

 Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma KWA niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali mstaafu Issa Machibya ,Mkuu wa Wilaya ya Kigoma mjini Exavery Maketa jana alizindua gazeti la Kigoma yetu linaalomilikiwa na CHAMA cha waandishi wa habari wa Mkoa wa Kigoma (KGPC). Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Kibo Peak uliopo mjini hapa na kuhudhuriwa na mamia ya wadau mbalimbali wa sekta ya habari pamoja na wakazi wa Mkoa wote wa Kigoma Akiongea katika uzinduzi huo katika hotuba yake Mkuu a...

 

10 years ago

GPL

KAMPENI YA KUTOKOMEZA MARADHI YA FISTULA YAENDELEA WILAYANI UVINZA-KIGOMA

Wakazi wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wakimsikiliza kwa makini  Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon (wapili kutoka kushoto ) alipokuwa akiwafafanulia jambo wakina baba hao kuhusiana na kampeni inayoendelea katika mikoa mitatu nchini ya kuelimisha  wakina baba na wananchi kwa ujumla kuwaruhusu wakina mama wajitokeze  ili wakatibiwe maradhi fistula kwani yanatibika, Inakadiriwa ni wastani ya...

 

10 years ago

Michuzi

uzinduzi wa siku ya chanjo mbalimbali kwa watoto wilayani uvinza, kigoma

Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma  MKUU wa wilaya Uvinza Hadija Nyembo ameitaka jamii kujitokeza kwa wingi kupeleka watoto wao kupatiwa chanjo ya kujikinga na magonjwa mbalimbali na kuachana na imani potofu kwamba chanjo zimeletwa kwa madhumuni tofauti ikiwemo kudhibiti suala la wanawake wasizae watoto wengi.  Akizundua siku ya chanjo kitaifa kwa wilaya ya Uvinza Mkuu wa wilaya hiyo,Hadija Nyembo amesema kuwa jamii inao wajibu mkubwa wa kuhakikisha inawapeleka watoto wao kupata...

 

10 years ago

Michuzi

Abiria wa Treni ya Reli ya Kati wakwama katika Stesheni ya Uvinza,Kigoma leo

 Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi sasa kutoka Mkoani Kigoma,inaeleza kuwa Abiria waliokuwa wakisafiri kwa Treni ya Reli ya Kati kutokea jijini Dar es salaam kuelekea Kigoma wamekwama wa katika Stesheni ya Uvinza mara baada ya kutokea kwa hitilafu kwenye Treni ya mizingo iliyokuwa ikitokea mkoani Kigoma kuelekea Dar es salaam.
Ripota wa Globu ya Jamii ambaye ni mmoja wa abiria hao,amezungumza na stesheni masta wa wa Uvinza na kumueleza kuwa ameshatuma wataalam kwenda eneo la tukio...

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa Kigoma Kusini,mhe david kafulila na jessica kishoa wameremeta mjini uvinza

 Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa Annex uliopo Uvinza, Kigoma,  jana Jumamosi Novemba 22, 2014 Mhe David Kafulila akiwa kanisani  na mai waifu wake wa Jessica Kishoa wakati wa  kufunga ndoa katika kanisa la Roman Catholic katika Parokia ya uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014 Mhe David Kafulila na mai waifu wake Jessica Kishoa pamoja na wapambe wao Mhe. Deo Filikujombe...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA UVINZA ASHIRIKIANA NA WANANCHI KUJENGA ZAHANATI YA KISASA KIJIJI CHA MAZUNGWE MKOANI KIGOMA

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mrisho Gambo akishirikiana na wanakijiji cha Mazungwe kilichopo kata ya kazuramimba Wilaya ya Uvinza kuchimba msingi wa zahanati ya kijiji hicho.Picha na Editha Karlo wa Globu ya Jamii Kigoma. Wananchi wa kijiji cha mazungwe wakisomba matofali kwa ajili ya ujenzi wa msingi wa zahanati ya kijiji chao Sehemu ya msingi imekamilika,inafuata hatua ya awali ya ujenzi zahanati hiyo ya kisasa katika kijiji cha Mazungwe Wananchi wa kijiji cha mazungwe wakisomba matofali...

 

10 years ago

GPL

UNESCO YAENDESHA MAFUNZO YA TEHAMA KUHUSU MABADILIKO YA RADIO JAMII‏

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akiendesha mafunzo ya matumizi ya kutumia TEHAMA kwa kupeleka na kupokea habari yaliyofanyika katika kituo cha Sengerema Telecentre mkoani Mwanza chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) kwa ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO). Ofisa...

 

10 years ago

Habarileo

Airtel wawezesha redio za UNESCO

KAMPUNI ya simu za mkononi ya AirteL kwa kushirikiana na UNESCO imewawezasha wakazi wa Uvinza kupata taarifa za kimaendeleo na habari za ndani na nje ya nchi kuTtokana na uzinduzi wa radio jamii Uvinza Kigoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani