KITUO CHA RADIO 5 CHAANDAA “KAMPENI YA RADIO 5 VIWANJANI”MSIMU HUU WA SIKUKUU YA XMASS NA MWAKA MPYA
Radio 5 FM 105.7 imeandaa "kampeni ya RADIO 5 viwanjani" katika mkoa wa Arusha ambapo itawakutanisha watangazaji na madjs na wasikilizaji wao katika kumbi za starehe kwa takribani wiki tano ikiwa ni sehemu ya kuwashukuru mashabiki wa Redio hiyo kwa kuwa pamoja kwa mwaka mzima huku mashabiki wakijipatia zawadi mbalimbali katika kampeni hiyo(katika picha ni Mtangazaji wa kituo cha Redio 5 Julius Kamafa aliyejizolea umaarufu mkubwa jijini Arusha kupitia kipindi chake cha funiko base ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi16 Feb
KITUO CHA RADIO 5 WAADHIMISHA SIKU YA RADIO DUNIANI
![SAM_1097](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/-UdwQuoQRFfeQs694h5GuIA0LWQuOEqyGllXNMUAm74l9LfQJSwtS5jlMSjEc4A91OfxANwORGoO2tU8_xZS7IB2mQ4NJMe8Gq6WDIAtUQhiZCA=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/02/sam_1097.jpg)
Kushoto ni Mkuu wa vipindi vya Radio 5 Mathew Philip na Ashura Mohamed wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa sekondari walioshiriki katika maadhimisho hayo ya Radio duniani. Akizungumza na waandishi wahabari hivi karibuni Mkuu wa vipindi wa Radio 5 Bw.Mathew Philip alisema maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kituo hicho pamoja na Farm Radio, ikiwa ni kuhadhimisha siku ya Radio duniani ambapo ilifanyika tarehe 13/2/2015...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-j_ovfhQLrus/VnvFfPVT6bI/AAAAAAAIOSE/8flWvmIE4zM/s72-c/1%2B%25281%2529.jpg)
KAPU LA SIKUKUU Toka Kituo bora cha radio 2015 93.7 EFM
10 years ago
Michuzi22 Dec
KITUO CHA RADIO 5 WAFANYA KAMPENI YA USHINDI KWA WATOTO YATIMA
Mkurugenzi wa kituo hicho Robert Francis anachukua jukumu la kuwasihi jamii kwa ujumla kuwa na tabia ya kuwakumbuka mayatima hasa kipindi hichi cha sikukuu ili nao wasijione kutengwa
Meneja ubunifu wa Redio 5 Vicky Mwakoyo alisema kuwa kila...
10 years ago
CloudsFM04 Apr
9 years ago
MichuziHEKA HEKA ZA SIKUKUU YA XMASS NA MWAKA MPYA NDANI YA SOKO LA KARIAKOO JIJINI DAR
11 years ago
Habarileo10 Apr
Kituo cha Radio chateketea kwa moto
KITUO cha kurusha matangazo ya radio cha dini ya Kiislamu cha Alnoor kimeteketea kwa moto ikiwemo studio zake tatu. Mkurugenzi mkuu wa Radio Alnoor, Mohamed Suleiman Tall, alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo alisema chanzo chake kikubwa ni hitilafu ya moto katika kituo kikuu cha umeme.
10 years ago
Bongo513 Feb
EATV/EA Radio wazindua kampeni mpya ‘Zamu Yako 2015′
10 years ago
Dewji Blog10 Aug
Kituo cha Radio 5 chashinda nafasi ya kwanza maonyesho ya Nanenane Arusha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akikabidhi kikombe Meneja masoko na mawasiliano Sarah Lazaro Keiya mara baada yakituo cha Radio5 kutangazwa washindi wa kwanza kwa upande wa Radio na wapili katika sekta nzima ya mawasiliano katika kilele cha sherehe za sikukuu ya Wakulima nanenane na maonyesho ya kilimo Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika katika uwanja wa maonyeshoThemi Mkoani Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Meneja masoko na...