KAPU LA SIKUKUU Toka Kituo bora cha radio 2015 93.7 EFM
![](http://1.bp.blogspot.com/-j_ovfhQLrus/VnvFfPVT6bI/AAAAAAAIOSE/8flWvmIE4zM/s72-c/1%2B%25281%2529.jpg)
Kituo bora cha radio 2015 E-fm leo kimekabidhi zawadi ya makapu yaliyosheheni bidhaa za vyakula kuelekea sikukuu ya Christmas Zoezi hili liliwataka wasikilizaji wa E-fm kusikiliza mlio wa Jingle Bells uliokuwa ukizunguka kwenye vipindi tofauti kisha kutambua muda ambao mlio huo umesikika, jina la kipindi husika na mtangazaji/watangazaji wa zamu waliokuwa studio muda huo. Akizungumza mara baada ya kukabidhi makapu hayo kwa washindi Meneja wa vipindi E-fm Bwana Dickson Ponela (Big Dad Dizzo)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi06 Dec
KITUO CHA RADIO 5 CHAANDAA “KAMPENI YA RADIO 5 VIWANJANI”MSIMU HUU WA SIKUKUU YA XMASS NA MWAKA MPYA
![SAM_0369](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/nP931ma7CeBo8VR1mTxNEdBGGwL88Vr-BAwV2QUHmow2fOIdi1VokaY7GdtvVZ6cmJ_ffDxaFdgVGHLJPD-uNM1Egt83hhKPDMK93WRj1T5MbvUWw9Cnq6E=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/12/sam_0369.jpg?w=660)
10 years ago
Michuzi16 Feb
KITUO CHA RADIO 5 WAADHIMISHA SIKU YA RADIO DUNIANI
![SAM_1097](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/-UdwQuoQRFfeQs694h5GuIA0LWQuOEqyGllXNMUAm74l9LfQJSwtS5jlMSjEc4A91OfxANwORGoO2tU8_xZS7IB2mQ4NJMe8Gq6WDIAtUQhiZCA=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/02/sam_1097.jpg)
Kushoto ni Mkuu wa vipindi vya Radio 5 Mathew Philip na Ashura Mohamed wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa sekondari walioshiriki katika maadhimisho hayo ya Radio duniani. Akizungumza na waandishi wahabari hivi karibuni Mkuu wa vipindi wa Radio 5 Bw.Mathew Philip alisema maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kituo hicho pamoja na Farm Radio, ikiwa ni kuhadhimisha siku ya Radio duniani ambapo ilifanyika tarehe 13/2/2015...
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Wadau wapongeza kituo cha Redio 5 kwa kuanzisha kampeni ya ‘Kapu la Pasaka’
Wafanyakazi wa kituo cha Redio 5 cha jijini Arusha wakikatishaa mitaa kumsakata mshindi wa kapu la Pasaka ,eneo hili linafahamika kwa jina la kwa Morombo na ni maarufu kwa uchomaji wa nyama ya mbuzi.
Mshindi maarufu kwa jina la Sule akipokea zawadi katika Kampeni ya Kapu la Pasaka inayoendeshwa na kituo cha Redio 5, baada ya kuwa msikilizaji mzuri wa vipindi mbalimbali vinavyoendeshwa na kituo hicho,kulia ni Ashura Mohamed na Hilda Kinabo watangazaji wa Redio 5 ,Bw.Sule ni kinyozi maarufu...
10 years ago
Bongo521 Aug
EFM yavunja ngome ya kipindi cha michezo cha Radio One, yawachukua Maulid Kitenge na Omary Katanga
10 years ago
GPL10 years ago
MichuziKAPU LA SIKUU LA 93.7 EFM NI MFANO WA KUIGWA
Meneja uhusiano ambae pia ni mmoja wa watangazaji wa kipindi cha Joto La Asubuhi,Kanky Mwaigomole alisema kuwa makapu hayo ya sikukuu yalikua yamejaa hasa vitu vya nyumbani.
“Tumehakikisha ya kwamba kapu hili litakalo muendea mshindi na...
10 years ago
MichuziExclusive: Maulid Kitenge wa Radio One ahamia Radio EFM
Kutokana na tafiti ya ipsos ya mwaka 2013,inasemekana kuwa mtangazaji huyo wa zamani wa kituo cha redio one,ndie mtangazaji bora wa michezo nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM,Dickson Ponela,ameeleza kufurahishwa kwake kwa mtangazaji huyo kinara kuhamia katika kituo hicho.
“Mpaka sasa Maulidi Kitenge...
10 years ago
Dewji Blog08 May
Kituo cha redio cha Efm chamkumbuka mwanamuziki Juma Nature kwa mchango wake katika muziki nchini
![](http://1.bp.blogspot.com/-yMTInvMETOk/VUw59V-lecI/AAAAAAAAQCE/vm-0zsAz7sw/s640/DU7C5232.jpg)
Mkuu wa Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamasha lijulikalo kama Komaa Concert litalofanyika mwishoni mwa mwezi mei kwa ajili ya kuadhimisha miaka 16 ya muziki ya msanii Juma Nature ‘maarufu Kiroboto’ namna ya kuonesha kuthamini mchango wake katika muziki wa bongo fleva na kuwakumbusha watanzania juu ya safari ya muziki wa Tanzania kwa ujumla. Kulia ni mwanamuziki huyo, Juma Nature...
11 years ago
Habarileo10 Apr
Kituo cha Radio chateketea kwa moto
KITUO cha kurusha matangazo ya radio cha dini ya Kiislamu cha Alnoor kimeteketea kwa moto ikiwemo studio zake tatu. Mkurugenzi mkuu wa Radio Alnoor, Mohamed Suleiman Tall, alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo alisema chanzo chake kikubwa ni hitilafu ya moto katika kituo kikuu cha umeme.